ADVERTISEMENT
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv
Friday, June 2, 2023
  • Login
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
No Result
View All Result

WIZARA KUANZISHA MINADA NA MAONESHO MADINI YA VITO

Morogoro

ALFRED MTEWELE by ALFRED MTEWELE
May 2, 2023
in HABARI
0
WIZARA KUANZISHA MINADA NA MAONESHO MADINI YA VITO
0
SHARES
56
VIEWS
Share on FacebookShare on Twitter

RelatedPosts

SEKTA YA MADINI KUWAVUTA WATALII NCHINI KUELEKEA KONGAMANO LA UWEKEZAJI KATIKA SEKTA YA MADINI 2023

SEKTA YA MADINI KUWAVUTA WATALII NCHINI KUELEKEA KONGAMANO LA UWEKEZAJI KATIKA SEKTA YA MADINI 2023

May 24, 2023

TANZANIA IKO TAYARI KUSHIRIKIANA NA CANADA ILI INUFAIKE NA MADINI

May 8, 2023

WAZIRI BITEKO AJA NA BAJETI HII NZITO BUNGENI

Apr 27, 2023
Load More
Inaweza kuwa picha ya Watu 9Imeelezwa kuwa, moja ya Vipaumbele vya Wizara ya Madini kwa Mwaka wa Fedha 2023/24 ni Uanzishwaji wa Minada na Maonesho ya madini ya Vito nchini.
Hayo yameelezwa na Waziri wa Madini Dkt. Doto Biteko alipokutana na kuzungumza na watumishi wa Tume ya Madini kutoka mikoa ya kimadini Morogoro na Mahenge katika Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani Mei 1, 2023 mkoani Morogoro.
“Ofisi ya Madini Mahenge mnatakiwa kusimamia vizuri uchimbaji wa madini ya vito wakati wizara ikiwa mbioni kuanzisha minada na maonesho ya madini ya vito hapa nchini,” ameeleza Dkt. Biteko.
Pia, amewataka kusimamia vizuri uchimbaji mkubwa wa madini ya Kinywe unaotarajiwa kuanza hivi karibuni katika maeneo hayo.
Dkt. Biteko amewataka watumishi wa wizara na taasisi zake kufanya kazi kwa bidii ili kufikia malengo ya wizara. Amesema watumishi hao ni taa ya wizara kuhakikisha Sekta hii inakua na kufungamanisha sekta nyingine.
“Nasisitiza watumishi wote wa wizara kufanya kazi kwa weledi na kufuata maadili ya utumishi wa umma,” amesema Dkt. Biteko.
Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani kitaifa yamefanyika leo Mei 1 mkoani Morogoro na kuhudhuriwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, viongozi wa Serikali na watumishi wa umma.
Inaweza kuwa picha ya Watu 8 na maandishi yanayosema 'TUGHE TUGHE'
ADVERTISEMENT
ADVERTISEMENT

Related

Tags: WIZARA YA MADINI
ADVERTISEMENT
ALFRED MTEWELE

ALFRED MTEWELE

Related Posts

HABARI

Meeting Ladies In Your 30s

by ALFRED MTEWELE
Jun 1, 2023
SERIKALI YAPOKEA BILIONI 15 KUTOKA UINGEREZA KWAAJILI YA MPANGO WA TASAF
HABARI

SERIKALI YAPOKEA BILIONI 15 KUTOKA UINGEREZA KWAAJILI YA MPANGO WA TASAF

by ALFRED MTEWELE
Jun 1, 2023
RAIS DK. MWINYI AZINDUA KAMATI YA KUZUIA UDHALILISHAJI ZANZIBAR
HABARI

RAIS DK. MWINYI AZINDUA KAMATI YA KUZUIA UDHALILISHAJI ZANZIBAR

by ALFRED MTEWELE
Jun 1, 2023
WANAWAKE WAONYWA UNYANYASAJI DHIDI YA WANAUME
HABARI

WANAWAKE WAONYWA UNYANYASAJI DHIDI YA WANAUME

by ALFRED MTEWELE
Jun 1, 2023
JINSI YA KUSAJILI BIASHARA YAKO
HABARI

JINSI YA KUSAJILI BIASHARA YAKO

by ALFRED MTEWELE
Jun 1, 2023
Customer Service Officer Job Vacancies at TADB
HABARI

Customer Service Officer Job Vacancies at TADB

by ALFRED MTEWELE
Jun 1, 2023

KRANTZ MWANTEPELE (FOUNDER & CEO)

KONCEPT TV

https://www.youtube.com/watch?v=0HP0mB_rtIU&t=7s
KONCEPT TV

KONCEPT TWEETS

ADVERTISEMENT
May 2023
M T W T F S S
1234567
891011121314
15161718192021
22232425262728
293031  
« Apr   Jun »
Currently Playing
  • About
  • Advertise
  • Privacy & Policy
  • Contact

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

No Result
View All Result
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

Welcome Back!

Login to your account below

Forgotten Password?

Retrieve your password

Please enter your username or email address to reset your password.

Log In