ADVERTISEMENT
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv
Tuesday, June 6, 2023
  • Login
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
No Result
View All Result

YANGA YAMSHITAKI FEI TOTO KAMATI YA NIDHAMU

Dar es Salaam

ALFRED MTEWELE by ALFRED MTEWELE
May 25, 2023
in MICHEZO
0
YANGA YAMSHITAKI FEI TOTO KAMATI YA NIDHAMU
0
SHARES
39
VIEWS
Share on FacebookShare on Twitter

Salum: Interest confirmed in Tanzanian star amid Orlando ...Kamati ya Nidhamu ya Klabu ya Young Africans imethibitisha kupokea malalamiko ya Uongozi wa Klabu hiyo dhidi ya Kiungo kutoka Zanzibar Feisal Salum Abdallah ‘Fei Toto’.

Kwa miezi sita sasa Fei Toto amekuwa katika mgogoro na Uongozi wa Klabu ya Young Africans, baada ya kushinikiza kuvunjwa kwa mkataba wake mwishoni mwa mwaka 2022.

RelatedPosts

WAZIRI MCHENGERWA ATOA OFA HII BABU KUBWA KUIPONGEZA YANGA

WAZIRI MCHENGERWA ATOA OFA HII BABU KUBWA KUIPONGEZA YANGA

Jun 5, 2023

SIMBA SC IMEWAHI KUCHEZA FAINALI CAF 1993

Jun 5, 2023

DIAMOND AWEKA KUFURU HII KWA DJIGUI DIARRA

Jun 5, 2023
Load More

Kamati ya Nidhamu ya Young Africans imethibitisha kupokea malalamiko ya Uongozi, kupitia barua rasmi aliyoandikiwa Fei Toto, akitakiwa kufika mbele ya Kamati hiyo ili kujitetea kwa makosa ya kinidhamu.

Barua aliyoandikiwa Fei Toto imeeleza: Kamati ya Sheria na Nidhamu ya Young Africans Sports Club imepokea malalamiko kutoka kwa uongozi wa Klabu inayo kutuhumu kwa makosa mbali mbali ya kinidhamu kama yalivyoainishwa kwenye Hati ya Mashtaka ambayo imeambatanishwa kwenye barua hii.

ADVERTISEMENT

Unaelekezwa kuwasilisha utetezi wako juu ya tuhuma zinazokukabili kama zilivyoainishwa kwenye Hati ya Mashtaka ndani ya siku saba (7) tangu tarehe ya barua hii na kutuma utetezi wako katika anuani ifuatayo:

Kamati pia inakuelekeza kuhudhuria kikao cha Kamati ya Sheria na Nidhamu kitakacho sikiliza mashtaka dhidi yako mnano tarehe 24 Mei 2023 saa 4:00 Asubuhi katika Ofisi za Klabu zilizopo Jangwani ukumbi wa mikutano ukiwa pamoja na mwakilishi wako (iwapo utapenda kuwa na mwakilishi) ili kukusikiliza wewe pamoja na Mlalamikaji na kufanya maamuzi juu ya tuhuma zinazokukabili.

ADVERTISEMENT

Related

Tags: Feisal SalumYANGA
ADVERTISEMENT
ALFRED MTEWELE

ALFRED MTEWELE

Related Posts

SIMBA SC IMEWAHI KUCHEZA FAINALI CAF 1993
MICHEZO

SIMBA SC IMEWAHI KUCHEZA FAINALI CAF 1993

by ALFRED MTEWELE
Jun 5, 2023
DIAMOND AWEKA KUFURU HII KWA DJIGUI DIARRA
MICHEZO

DIAMOND AWEKA KUFURU HII KWA DJIGUI DIARRA

by ALFRED MTEWELE
Jun 5, 2023
KUNANI MAGAZETINI LEO JUMANNE TAREHE 22 JUNI
HABARI

KURASA ZA MAGAZETINI LEO JUMATATU TAREHE 05 JUNI 2023

by I am Krantz
Jun 5, 2023
Rais Samia Apunguza Tozo Ya Mafuta
HABARI

Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan awaalika Yanga kwa chakula cha jioni kesho Jumatatu

by I am Krantz
Jun 4, 2023
KARIM BENZEMA KUONDOKA RASMI MADRID BAADA YA KUICHEZEA KWA MISIMU 14, BERNABEU
MICHEZO

KARIM BENZEMA KUONDOKA RASMI MADRID BAADA YA KUICHEZEA KWA MISIMU 14, BERNABEU

by ALFRED MTEWELE
Jun 4, 2023
MANULA AFANYIWA UPASUAJI, NJE MIEZI MINNE ZAIDI, KUREJEA NCHINI JUMAPILI
MICHEZO

MANULA AFANYIWA UPASUAJI, NJE MIEZI MINNE ZAIDI, KUREJEA NCHINI JUMAPILI

by ALFRED MTEWELE
Jun 3, 2023

KRANTZ MWANTEPELE (FOUNDER & CEO)

KONCEPT TV

https://www.youtube.com/watch?v=0HP0mB_rtIU&t=7s
KONCEPT TV

KONCEPT TWEETS

ADVERTISEMENT
May 2023
M T W T F S S
1234567
891011121314
15161718192021
22232425262728
293031  
« Apr   Jun »
Currently Playing
  • About
  • Advertise
  • Privacy & Policy
  • Contact

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

No Result
View All Result
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

Welcome Back!

Login to your account below

Forgotten Password?

Retrieve your password

Please enter your username or email address to reset your password.

Log In