Kiungo mahiri anayekipiga mnamo Klabu ya Azam FC, James Akaminko, ameongeza mkataba mpya wa miaka miwili kuendelea kusalia ndani ya klabu hio.
Hivyo, bado yupo kuhudumu kwenye viunga vya Azam Complex hadi mwaka 2026.

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.