ADVERTISEMENT
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv
Saturday, September 30, 2023
  • Login
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
No Result
View All Result

Benki ya NBC yakabidhi kombe la ubingwa wa ligi kuu kwa Yanga

I am Krantz by I am Krantz
Jun 10, 2023
in HABARI
0
Benki ya NBC yakabidhi kombe la ubingwa wa ligi kuu kwa Yanga
0
SHARES
181
VIEWS
Share on FacebookShare on Twitter
Wachezaji wa timu ya Yanga, wakishangiali kutwaa ubingwa wa ligi kuu ya NBC kwa msimu wa 2022/2023 mara baada ya kukabidhiwa kombe lao katika uwanja wa kumbukumbu ya Sokoine jijini Mbeya.
Mkurugenzi wa Fedha wa Benki ya NBC Waziri Barnabas (wa tatu kushoto) akilifurahi kombe la Ligi kuu ya NBC muda mfupi baada ya mabingwa wa msimu huu 2022/2023 timu ya Yanga kukabidhiwa kombe hilo jijini Mbeya. Wa kwanza kulia ni mkuu wa kitengo cha masoko wa NBC David Raymond na wengine ni baadhi ya wachezaji wa Yanga na wafanyakazi wa NBC.
Wachezaji wa Yanga na baadhi ya viongozi wao wakifurahia kombe la ubingwa wa ligi kuu ya soka ya NBC, mara baada ya Kutangazwa bingwa katika msimu wa ligi 2022/2023 na kukabidhiwa rasmi katika uwanja wa kumbu kumbu ya Sokoine jijini Mbeya..
Warembo waliopamba sherehe za kukabidhi kombe kwa bingwa wa ligi kuu ya NBC 2022/2023 timu ya Yanga, wakiwa katika pozi na kombe hilo jipya lililokabidhiwa kwa Yanga katika uwanja wa kumbukumbu ya Sokoine jijini Mbeya.
Rais wa Yanga injinia Hersi Said akipiga picha na kombe la ubingwa wa ligi kuu ya NBC 2022/2023 pamoja na mchezaji wa Yanga Stephane Aziz Ki ambaye pia alitangazwa kuwa mchezaji bora wa mwezi April.

Mbeya Juni 9, 2023: Mdhamini mkuu wa ligi ya NBC, Benki ya Taifa ya Biashara(NBC) leo imekabidhi kombe la ubingwa wa ligi kuu ya soka Tanzania bara kwa timu ya Yanga ambayo ndiyo bingwa kwa msimu wa 2022/2023.

Hafla ya kukabidhi kombe la ubingwa ilifanyika katika uwanja wa Kumbu kumbu ya Sokoine jijini Mbeya, huku ikishuhudiwa na mamia ya wapenda soko wakazi wa jiji hilo na meneo ya jirani baada ya mchezo kati ya Yanga dhidi ya Tanzania Prison.

RelatedPosts

CHAGUZI KUFANYIKA MTANDAONI SIKU ZIJAZO

CHAGUZI KUFANYIKA MTANDAONI SIKU ZIJAZO

Sep 29, 2023

TSO WAZINDUA GALA DINNER

Sep 29, 2023

CHANJO YA MBWA NI MUHIMU

Sep 29, 2023
Load More

Akikabidhi kombe hilo kwa Yanga mkuu nwa mkoa wa Mbeya Juma Homera aliishukuru benki ya NBC kuwa mdhamini mkuu wa ligi kuu ya Tanzania bara na kusema kuwa udhamini wa NBC umekuwa na matokeo chanya kwa soka la Tanzania.

“Udhamini wa NBC umewezesha kuongeza ushindani kwenye ligi na kuboresha soka letu. Leo hii tunajivunia kuwa na ligi bora barani Afrika tukishikilia nafasi ya tano. Naipongeza sana benki ya NBC kwa kufanya mambo makubwa katika ligi na soka la nchi yetu kwa ujumla,” alisema Homera.

Mkuu huyo wa mkoa aliipongeza timu ya Yanga kwa kutwaa ubingwa na kusema kuwa haikuwa rahisi kwa timu hiyo kuibuka kinara wa ligi kutokana na ushindani mkali kutoka kwa timu pinzani.

Kwa upande wake mkurugenzi wa fedha wa NBC Barnabas Waziri alisema NBC itaendelea kuwa mdhamini mkuu wa ligi na kuongeza kuwa benki hiyo  pia itaendelea kutoa mchango katika sekta ya michezo kwa upana wake.

“Pamoja na soka, tumekuwa tukisadia michezo mingine kama riadha kupitia NBC Dodoma marathon. Nia yetu ya kusaidia sekta ya michezo hapa nchini ni thabiti na tutaendelea kusaidia,” alieleza

Mkurugenzi huyo alisema udhamini wa NBC kwenye ligi kuu umekuja na maboresho kadhaa ikiwa ni pamoja na kutoa bima kwa wachezaji wa ligi kuu pamoja na familia zao pamoja na mikopo ya mabasi kwa vilabu vinavyoshiriki ligi.

“Juzi tumezindua kombe jipya lenye hadhi na ambalo leo litakabidhiwa kwa bingwa wa ligi. Ili kuongeza hamasa kwa wachezaji na makocha, tumekua tukitoa tuzo mbali mbali kwa makocha na wachezaji bora wa mwezi,” alisema

Mkurugenzi huyo aliipongeza Timu ya Yanga kwa kutwaa ubingwa kwa msimu wa pili mfululizo na pia alizipongeza timu zote 14 zilizoshiriki ligi ambayo ushindane wake umekuwa ni mkubwa.

MWISHO………

Related

I am Krantz

I am Krantz

👉 FOUNDER & CEO of KONCEPT 👉Serial & Self-made Entrepreneur 👉Digital media consultant 👉Pr & media Guru/Awards winner Blogger 👉Startuper of the year 2016 by TOTAL 👉TOP 50 Most influential young Tanzania 2017 👉General Secretary at Tanzania Bloggers Network 👉 UPG Sustainability Leader in the Class of 2021 👉 ALUMNI The Tony Elumelu Foundation 👉Chairman YOUNG CEO CLUB Tanzania 🇹🇿 ‘ 😊 Marketer BY Education, Entrepreneur BY Profession & Blogger BY Passion ”😊

Related Posts

CHAGUZI KUFANYIKA MTANDAONI SIKU ZIJAZO
HABARI

CHAGUZI KUFANYIKA MTANDAONI SIKU ZIJAZO

by SUZO SHUKRANI
Sep 29, 2023
TSO WAZINDUA GALA DINNER
HABARI

TSO WAZINDUA GALA DINNER

by SUZO SHUKRANI
Sep 29, 2023
CHANJO YA MBWA NI MUHIMU
AFYA

CHANJO YA MBWA NI MUHIMU

by SUZO SHUKRANI
Sep 29, 2023
52 WAFARIKI KWENYE MAADHIMISHO YA MAULID NCHINI PAKISTAN
HABARI

52 WAFARIKI KWENYE MAADHIMISHO YA MAULID NCHINI PAKISTAN

by SUZO SHUKRANI
Sep 29, 2023
SEKTA YA MADINI YAJA NA MBT KAMA FURSA KWA VIJANA
HABARI

SEKTA YA MADINI YAJA NA MBT KAMA FURSA KWA VIJANA

by SUZO SHUKRANI
Sep 29, 2023
TUNZAA YATANGAZA USHIRIKIANO MKUBWA NA KAMPUNI YA VODACOM KUPITIA M-PESA 
HABARI

TUNZAA YATANGAZA USHIRIKIANO MKUBWA NA KAMPUNI YA VODACOM KUPITIA M-PESA 

by I am Krantz
Sep 29, 2023

KRANTZ MWANTEPELE (FOUNDER & CEO)

KONCEPT TV

https://www.youtube.com/watch?v=0HP0mB_rtIU&t=7s
KONCEPT TV

KONCEPT TWEETS

June 2023
M T W T F S S
 1234
567891011
12131415161718
19202122232425
2627282930  
« May   Jul »
Currently Playing
  • About
  • Advertise
  • Privacy & Policy
  • Contact

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

No Result
View All Result
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

Welcome Back!

Login to your account below

Forgotten Password?

Retrieve your password

Please enter your username or email address to reset your password.

Log In