Mmiliki wa Shirika la Ndege la Precision Air, Michael Shirima ameaga dunia wakati akiwa napatiwa matibabu katika Hospitali ya Agakhan, Jijini Dar es Salaam.
Kwa taarifa zaidi endelea kufuatilia kurasa zetu za mitandaoni;
#KoncepttvUpdates
Nimepokea kwa masikitiko taarifa za kifo cha Michael Ngaleku Shirima, mwanzilishi na Mwenyekiti wa Bodi ya Kampuni ya Precision Air. Baada ya utumishi wake kwa umma, kwa zaidi ya miaka 30 amekuwa sehemu muhimu katika biashara ya anga na shughuli za kijamii katika nchi yetu. Natoa… pic.twitter.com/aP5ANudo8l
— Samia Suluhu (@SuluhuSamia) June 10, 2023