Mamlaka ya Udhibiti wa Nishati na Maji, EWURA imeujuza Umma kuhusu Bei ya Kikomo ya Bidhaa za Mafuta ya Petroli chini. Bei hio imependekezwa kuanza rasmi kuanzia Juni 7, 2023 saa 6: 01 Usiku
Bei ya Rejareja kwa Bidhaa ya Mafuta ya Petroli Shilingi/Lita Mkoa wa Dar es Salaam; Petroli Tsh. 2,873, Dizeli Tsh. 2,662, Mafuta ya Taa Tsh. 2,829.
Jijini Arusha bei nako ipo hivi; Petroli Tsh. 2,973, Dizeli Tsh. 2,759, Mafuta ya Taa.
Kwa taarifa zaidi kuhusu bei za mafuta katika mikoa mingine tembelea kurasa za Blog zetu Mitandaoni (Google) kama Mwanaharakati Mzalendo au Bongo Swaggz.