ADVERTISEMENT
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv
Tuesday, October 3, 2023
  • Login
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
No Result
View All Result

JEZI NAMBARI 20 YA JONAS MKUDE YASTAAFISHWA

Dar es Salaam

MTEWELE ALFRED by MTEWELE ALFRED
Jun 28, 2023
in MICHEZO
0
JEZI NAMBARI 20 YA JONAS MKUDE YASTAAFISHWA
0
SHARES
131
VIEWS
Share on FacebookShare on Twitter

Ahmed Ally Ataka Hamasa ya Mashabiki – Amani Sports NewsMeneja wa Habari na Mawasiliano Simba SC Ahmed Ally kupitia Simba TV ametangaza kuwa Simba SC imeistaafisha jezi nambari 20 iliyokuwa inatumiwa na Kiungo wao Jonas Mkude hadi pale atakapopatikana mtu mwingine sahihi kutokea Simba B atakayeirithi ikiwa Mkude ameondoka Simba SC baada ya kuitumikia Club hiyo kwa miaka 13.

“Sisi kama Simba tumepanga kumfanyia makubwa sana Mkude katika kumuaga kwake, akimaliza mipango yake ya kimaisha ya kucheza ball arudi Simba SC nafasi yake kwenye utawala au ufundi nafasi yake ipo wazi” Ahmed Ally -Meneja Habari na Mawasiliano Simba SC

RelatedPosts

MAHAKAMA KUU YAMWAMURU BOCCO KULIPWA MILIONI 200 KWA MATUMIZI YA PICHA YAKE

MAHAKAMA KUU YAMWAMURU BOCCO KULIPWA MILIONI 200 KWA MATUMIZI YA PICHA YAKE

Sep 7, 2023

BENKI YA NBC YAZINDUA LOGO MPYA YA LIGI LA CHAMPIONSHIP

Sep 7, 2023

KITAPIGWA HAPA ALGERIA NA TAIFA STARS

Sep 6, 2023
Load More

“La pili jezi namba 20 ambayo ameivaa Mkude kwa miaka 13 akiwa Simba SC nayo rasmi tumeistafisha haitatumika mpaka pale Simba tutakapopata kijana mwingine hodari kutokea Simba B” Ahmed Ally

#KoncepttvUpdates

HISIA ZANGU: Mbona Jonas Mkude amerusha taulo mapema hivi? | Mwanaspoti

MKUDE AVUNJA UKIMYA SIMBA SC...AFUNGUKA A-Z KILICHONYUMA YA PAZIA.. | Soka La Bongo

Related

Tags: Dar es SalaamLIGI KUU YA NBCSIMBA SC
MTEWELE ALFRED

MTEWELE ALFRED

Related Posts

TUNZAA YATANGAZA USHIRIKIANO MKUBWA NA KAMPUNI YA VODACOM KUPITIA M-PESA 
HABARI

TUNZAA YATANGAZA USHIRIKIANO MKUBWA NA KAMPUNI YA VODACOM KUPITIA M-PESA 

by I am Krantz
Sep 29, 2023
RAMADHAN BROTHERS WASHIKA NAFASI YA TANO AMERICA GOT TALENT
HABARI

RAMADHAN BROTHERS WASHIKA NAFASI YA TANO AMERICA GOT TALENT

by SUZO SHUKRANI
Sep 29, 2023
MCHEZO WA MWAKINYO MPAKA HIVI SASA MAMBO BADO MAGUMU
HABARI

MCHEZO WA MWAKINYO MPAKA HIVI SASA MAMBO BADO MAGUMU

by SUZO SHUKRANI
Sep 29, 2023
TZ, KENYA NA UGANDA RASMI KUANDAA AFCON 2027
HABARI

TZ, KENYA NA UGANDA RASMI KUANDAA AFCON 2027

by SUZO SHUKRANI
Sep 27, 2023
SIMBA KUWAKOSA WACHEZAJI WATATU MCHEZO WA MARUDIANO
HABARI

SIMBA KUWAKOSA WACHEZAJI WATATU MCHEZO WA MARUDIANO

by SUZO SHUKRANI
Sep 27, 2023
USHINDI WA TWIGA STARS WAMLETA RAIS SAMIA
HABARI

USHINDI WA TWIGA STARS WAMLETA RAIS SAMIA

by SUZO SHUKRANI
Sep 27, 2023

KRANTZ MWANTEPELE (FOUNDER & CEO)

KONCEPT TV

https://www.youtube.com/watch?v=0HP0mB_rtIU&t=7s
KONCEPT TV

KONCEPT TWEETS

June 2023
M T W T F S S
 1234
567891011
12131415161718
19202122232425
2627282930  
« May   Jul »
Currently Playing
  • About
  • Advertise
  • Privacy & Policy
  • Contact

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

No Result
View All Result
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

Welcome Back!

Login to your account below

Forgotten Password?

Retrieve your password

Please enter your username or email address to reset your password.

Log In