ADVERTISEMENT
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv
Saturday, September 23, 2023
  • Login
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
No Result
View All Result

RC CHALAMILA AFANYA ZIARA YA KUSHTUKIZA SOKO LA KIGOGO FRESH

Dar es Salaam

MTEWELE ALFRED by MTEWELE ALFRED
Jun 9, 2023
in HABARI
0
RC CHALAMILA AFANYA ZIARA YA KUSHTUKIZA SOKO LA KIGOGO FRESH
0
SHARES
176
VIEWS
Share on FacebookShare on Twitter

ImageMkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe Albert Chalamila Juni 8, 2023 amefanya ziara ya kushtukiza katika Soko la Kigogo Fresh Chanika Jijini Dar es Salaam.

Akiwa katika Soko hilo amejionea mazingira yasiyoridhisha katika Soko hilo ambapo hata barabara ya kuingia sokoni hapo imejaa maji hali ambayo husababisha jamii inayofuata mahitaji sokoni hapo na wafanyabishara wanafanya biashara kupata shida hasa nyakati za mvua

RelatedPosts

MAHAKAMA KUU YAMWAMURU BOCCO KULIPWA MILIONI 200 KWA MATUMIZI YA PICHA YAKE

MAHAKAMA KUU YAMWAMURU BOCCO KULIPWA MILIONI 200 KWA MATUMIZI YA PICHA YAKE

Sep 7, 2023

BENKI YA NBC YAZINDUA LOGO MPYA YA LIGI LA CHAMPIONSHIP

Sep 7, 2023

KITAPIGWA HAPA ALGERIA NA TAIFA STARS

Sep 6, 2023
Load More

Aidha RC Chalamila alipata wasaa wa kuongea na wafanyabishara hao wakimueleza kero mbalimbali zinazowakabili sokoni hapo ikiwemo miundo mbinu mibovu ambapo amewaambia tayari fedha zilishaletwa katika soko hilo hivyo ndani ya Kipindi kifupi kuanzia sasa Changamoto zote zitaisha.

Huku akiwataka kumpa muda wa wiki moja kuanzia leo kuzishughulikia Changamoto hizo, Mhe Chalamila amesema atapita kila mahali kushughulikia Changamoto za wana Dar es Salaam hataki kupewa taarifa za makaratasi Ofisini.

Sambamba na hilo RC Chalamila amesema Rais Samia Suluhu hapendi mtu yoyote anyanyasike Serikali inategemea mapato kutoka kwa wafanyabishara hivyo lazima tuboreshe mazingira yao ya kufanyia biashara.Image

Related

Tags: Dar es SalaamIKULU MAWASILIANOOFISI YA RAIS TAMISEMI
MTEWELE ALFRED

MTEWELE ALFRED

Related Posts

Maurel and Prom: Empowering Tanzania’s Sustainable Energy Economy
BIASHARA

Maurel and Prom: Empowering Tanzania’s Sustainable Energy Economy

by I am Krantz
Sep 22, 2023
DR KONGO YATAKA MONUSCO KUONDOKA HARAKA
HABARI

DR KONGO YATAKA MONUSCO KUONDOKA HARAKA

by SUZO SHUKRANI
Sep 21, 2023
HAIER TANZANIA NA AZAM TV WAUNGANA KUKIWASHA KWA PAMOJA
HABARI

HAIER TANZANIA NA AZAM TV WAUNGANA KUKIWASHA KWA PAMOJA

by SUZO SHUKRANI
Sep 21, 2023
MNH YAFANYA UPASUAJI WA KWANZA TUNDU DOGO MOJA
AFYA

MNH YAFANYA UPASUAJI WA KWANZA TUNDU DOGO MOJA

by SUZO SHUKRANI
Sep 21, 2023
SBL KUUNGANISHA TAMADUNI KUPITIA OKTOBA FEST
HABARI

SBL KUUNGANISHA TAMADUNI KUPITIA OKTOBA FEST

by SUZO SHUKRANI
Sep 21, 2023
TAWA YATAKIWA KUJIPANGA KUONGEZA UKUSANYAJI MAPATO
HABARI

TAWA YATAKIWA KUJIPANGA KUONGEZA UKUSANYAJI MAPATO

by SUZO SHUKRANI
Sep 21, 2023

KRANTZ MWANTEPELE (FOUNDER & CEO)

KONCEPT TV

https://www.youtube.com/watch?v=0HP0mB_rtIU&t=7s
KONCEPT TV

KONCEPT TWEETS

June 2023
M T W T F S S
 1234
567891011
12131415161718
19202122232425
2627282930  
« May   Jul »
Currently Playing
  • About
  • Advertise
  • Privacy & Policy
  • Contact

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

No Result
View All Result
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

Welcome Back!

Login to your account below

Forgotten Password?

Retrieve your password

Please enter your username or email address to reset your password.

Log In