Kiungo wa kati wa Uingereza Declan Rice, 24, amepewa ruhusa ya kufanyiwa uchunguzi wa kimatibabu katika klabu ya Arsenal wakati wakifanya mazungumzo na West Ham kuhusu makubaliano ya dau la pauni milioni 105. (sport)
Awali nyota huyo, alikuwa akiwaniwa na wahasimu wawili wa EPL yaani Man City na The Gunners wenyewe, baadae imeonekana Man City imejiondoa katika kinyang’anyilo hicho cha kuipata saini ya mchezaji huyo kabisa.
Cc; BBC SWAHILI