
Kupitia uwezo wa kipaji alichonacho, ameweza pata nafasi ya kushinda vinyang’anyilo vingi vya Tuzo katika matoleo tofauti.Â
Hadi sasa Burna Boy ni miongoni mwa Wasanii wenye Tuzo nyingi zaidi Barani Afrika akitokea ukanda wa Magharibi
Burna Boy ana tuzo 1 Grammy, 4 BET Awards, 3 MOBO Awards, 2 MTV EMAs, 1 Edison Award, 1 NME Award, 4 AFRIMA, 3 AFRIMMA, 5 Headies, 2 IRAWMA, 3 Ghana Music Awards, 8 SoundCity MVP Awards, 2 Nigerian Entertainment Awards, 1 South South Music Award, 1 Galaxy Music Award, 1 HiPipo Award.
#Africafactzone
#KoncepttvUpdates