ADVERTISEMENT
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv
Tuesday, October 3, 2023
  • Login
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
No Result
View All Result

UNCDF yazindua kampeni ya uhamasishaji iitwayo Anzia Jikoni

I am Krantz by I am Krantz
Jun 16, 2023
in HABARI, MICHEZO
0
UNCDF yazindua kampeni ya uhamasishaji iitwayo Anzia Jikoni
0
SHARES
80
VIEWS
Share on FacebookShare on Twitter


å
 

Dar es Salaam, 15 Juni 2023: Mfuko wa Maendeleo ya Mitaji ya Umoja wa Mataifa (UNCDF), mtekelezaji mkuu na meneja wa mfuko wenye thamani ya Euro milioni 17 wa programu ya CookFund, unaofadhiliwa na Umoja wa Ulaya (EU), umezindua kampeni ya uhamasishaji iitwayo Anzia Jikoni – change for a cleaner future starts in the kitchen. 

RelatedPosts

KANISA LAPOROMOKA MEXICO NA KUUWA WATU 10

KANISA LAPOROMOKA MEXICO NA KUUWA WATU 10

Oct 2, 2023

TAKRIBAN WAHAMIAJI 10 WAMEFARIKI NA WENGINE 25 KUJERUHIWA KATIKA AJALI YA LORI NCHINI MEXICO

Oct 2, 2023

AIRPORT YA ZANZIBAR IPO BUSY KULIKO YA DAR ES SALAAM

Oct 2, 2023
Load More

Uzinduzi huo ulifanyika katika wa warsha ya vyombo vya habari iliyoandaliwa na Shirika hilo la Umoja wa Mataifa, kwa lengo la kubadilishana ujuzi juu ya jinsi matumizi ya teknolojia safi ya kupikia, yanaweza kuwa na mchango mkubwa katika kutatua changamoto za afya, mazingira na kijamii. Pia warsha hiyo iliangazia hitaji la umma, washirika wa maendeleo na  sekta binafsi katika kushirikiana kuhakikisha kuna uendelevu wa matumizi ya teknolojia safi za kupikia. 

 

Akizungumza wakati wa warsha hiyo, Senior Finance Specialist and CookFund Programme Manager, UNCDF Tanzania,  Bw. Imanuel Muro, alisema, “Ufadhili wa EU unasaidia, na kuongeza utaalam wetu katika uwekezaji wa kifedha ili kuleta maendeleo endelevu, na pia kuchochea uwezo wa makampuni katika kuvumbua teknolojia safi za kupikia. Pia kupitia kampeni yetu ya Anzia Jikoni, tutaweza kuonyesha umuhimu na faida za kutumia teknolojia hizi.”

 

Zaidi ya hayo, data kuhusu nishati za kupikia nchini zinaonyesha asilimia 85 ya watu wanatumia biomasi, na hivyo ndio maana programu ya CookFund inayofadhiliwa na Umoja wa Ulaya (EU), inalenga kukabiliana na mabadiliko ya hali ya hewa kwa kuanzia jikoni. Bw. Imanuel Muro aliongeza, “Kama waandishi wa habari, mna jukumu muhimu katika kuwasilisha umuhimu wa mabadiliko katika teknolojia za  kupika ili kuchangia kukabiliana na mabadiliko ya hali ya hewa na kufikia Malengo ya Maendeleo Endelevu”. 

 

Programu ya CookFund yenye thamani ya Euro milioni 17 Iko chini ya ‘Mpango wa kutumia nishati safi ya Safi ya Kupika nchini Tanzania,’ na Mfuko wa 11 wa Maendeleo ya Ulaya (EDF), na unaunga mkono mipango ya serikali ya kuongeza upatikanaji wa nishati safi. Mpango huo unalenga matumizi ya 80% ya ufumbuzi wa kupikia safi ifikapo 2033.

 

Related

I am Krantz

I am Krantz

👉 FOUNDER & CEO of KONCEPT 👉Serial & Self-made Entrepreneur 👉Digital media consultant 👉Pr & media Guru/Awards winner Blogger 👉Startuper of the year 2016 by TOTAL 👉TOP 50 Most influential young Tanzania 2017 👉General Secretary at Tanzania Bloggers Network 👉 UPG Sustainability Leader in the Class of 2021 👉 ALUMNI The Tony Elumelu Foundation 👉Chairman YOUNG CEO CLUB Tanzania 🇹🇿 ‘ 😊 Marketer BY Education, Entrepreneur BY Profession & Blogger BY Passion ”😊

Related Posts

KANISA LAPOROMOKA MEXICO NA KUUWA WATU 10
HABARI

KANISA LAPOROMOKA MEXICO NA KUUWA WATU 10

by SUZO SHUKRANI
Oct 2, 2023
HABARI

TAKRIBAN WAHAMIAJI 10 WAMEFARIKI NA WENGINE 25 KUJERUHIWA KATIKA AJALI YA LORI NCHINI MEXICO

by SUZO SHUKRANI
Oct 2, 2023
AIRPORT YA ZANZIBAR IPO BUSY KULIKO YA DAR ES SALAAM
HABARI

AIRPORT YA ZANZIBAR IPO BUSY KULIKO YA DAR ES SALAAM

by SUZO SHUKRANI
Oct 2, 2023
MIFUMO YA KIFEDHA KULINDWA ZAIDI
BIASHARA

MIFUMO YA KIFEDHA KULINDWA ZAIDI

by SUZO SHUKRANI
Oct 2, 2023
SIKU 7 ZATOLEWA MILANGO KUBADILISHWA
HABARI

SIKU 7 ZATOLEWA MILANGO KUBADILISHWA

by SUZO SHUKRANI
Oct 2, 2023
TWENDE BUTIAMA YAANZA RASMI KUTOKA DAR MPAKA BUTIAMA
HABARI

TWENDE BUTIAMA YAANZA RASMI KUTOKA DAR MPAKA BUTIAMA

by SUZO SHUKRANI
Oct 2, 2023

KRANTZ MWANTEPELE (FOUNDER & CEO)

KONCEPT TV

https://www.youtube.com/watch?v=0HP0mB_rtIU&t=7s
KONCEPT TV

KONCEPT TWEETS

June 2023
M T W T F S S
 1234
567891011
12131415161718
19202122232425
2627282930  
« May   Jul »
Currently Playing
  • About
  • Advertise
  • Privacy & Policy
  • Contact

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

No Result
View All Result
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

Welcome Back!

Login to your account below

Forgotten Password?

Retrieve your password

Please enter your username or email address to reset your password.

Log In