Ndege ya kampuni ya DELTA, imetua salama, bila matairi ya mbele, katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Charlotte Douglas, nchini Marekani, Jumatano, Juni 28, 2023, ambapo kampuni hiyo imesema kuwa hali hiyo hujitokeza kwa nadra sana, lakini wafanyakazi wake hufanya mazoezi ya kila mara ya kiusalama ili kuhakikisha wateja wao wanafika salama.
.
Shirikisho la Usafiri wa Anga nchini humo limethibitisha kutokea kwa tatizo hilo, na kudai kuwa linaendelea na uchunguzi.
#CNN
#KoncepttvUpdates