Bayern Munich wameanza kwa matokeo ya kipekee kujiandaa na msimu mpya, Jana Jumanne wameibuka na ushindi wa mabao 27-0 dhidi ya FC Rottach-Egern katika mchezo wa matayarisho mechi ya kirafiki dhidi ya timu hiyo ya daraja la tisa ya Ujerumani.
Wachezaji wanne walifunga hat trick bora zaidi kwenye mchuano huo, huku Jamal Musiala, Marcel Sabitzer na Mathys Tel mwenye umri wa miaka 18 kila mmoja akifunga bao mara tano na Serge Gnabry akifunga mara tatu.
Mtazamo wako ni upi kwa kichapo hichi alichopokea FC ROTTACH-EGERN, imeonewa au la!
Die Highlights vom 27:0-Sieg im Testspiel gegen Rottach-Egern. 👇
— FC Bayern München (@FCBayern) July 18, 2023