Baada ya Klabu ya Simba kuweza kuweka sawa mambo na Kiungo wake Clatous Chama, Mchezaji huyo ameongeza nafasi ya kuhudumu ndani ya kikosi hicho kwa msimu mwingine zaidi.
Aidha Wachezaji wawili wa Klabu hio ikianza na Clatous Chama mwenyewe na Fabrice Ngoma aliyesajiliwa kupitia dirisha hili kubwa na kutangazwa hivi karibuni wanatarajiwa kuondoka kuelekea nchini Uturuki ili kuweza jumuika na Kikosi cha Timu hio kilichotangulia kuweka Kambi nchini humo Kwaajili ya Maandalizi ya Michuano ya Msimu ujao.
Baada ya Simba kutambulisha baadhi ya Wachezaji wake wapya iliyowasajili kupitia Dirisha kubwa ili
“Tabu ipo pale pale kwa wapinzani 🤩
Clatous Chama na Fabrice Ngoma siku ya Ijumaa Julai 21, 2023 wataanza safari kwenda kwenye kambi yetu nchini Uturuki.” Imethibitishwa na Simba SC
#KoncepttvUpdates