ADVERTISEMENT
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv
Tuesday, October 3, 2023
  • Login
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
No Result
View All Result

DKT. KIKWETE AWAONYA VIJANA KUACHA NGONO ZEMBE

Kilimanjaro

MTEWELE ALFRED by MTEWELE ALFRED
Jul 16, 2023
in HABARI
0
DKT. KIKWETE AWAONYA VIJANA KUACHA NGONO ZEMBE
0
SHARES
92
VIEWS
Share on FacebookShare on Twitter

RAIS Mstaafu wa Awamu ya Nne Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete amewataka Watanzania hususani vijana kuachana kabisa na kufanya ngono zembe ili kuondoa maambukizi ya Virusi vya Ukimwi na UKIMWI wenyewe.

Akizungumza kwenye ya kuwaaga wapanda mlima na waendesha baiskeli kwenye kampeni ya kuchangisha fedha dhidi ya VVU/UKIMWI iliyofanyika Machame, mkoani Kilimanjaro Dkt. Kikwete amesema umefika wakati wa kueleza ukweli kwa jamii kuhusu hali halisi ya maambukizi ya ugonjwa huo

RelatedPosts

WATU 128 WAPATA HUDUMA YA KUPUNGUZA UZITO ULIOPITILIZA

WATU 128 WAPATA HUDUMA YA KUPUNGUZA UZITO ULIOPITILIZA

Aug 2, 2023

FAIDA ZA ULAJI WA PARACHICHI KIAFYA

Aug 1, 2023

MUHIMBILI YAKIDHI VIGEZO KUSHUGHULIKIA DHARURA AFCON 2027

Aug 1, 2023
Load More

“Nilipokuwa Rais nilikuwa naendesha sana kampeni, kukumbusha Watanzania jamani eeeh! UKIMWI upo! ni maradhi ya kujitakia si maradhi ya bahati mbaya tusimsingizie Mwenyezi Mungu, hapana, ile njia kuu inayosambaza UKIMWI tunapanga mahali pa kukutana, tunapanga siku ya kukutana, tunapanga na saa ya kukutana labda aliyebakwa tu…usisahau kinga,” amesema Dkt. Jakaya Kikwete -Rais Mstaafu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania

Aidha Kikwete ameongeza kwa kusema kuwa, kwa sasa juhudi mbalimbali za serikali zinaendelea kama awamu nyingine zilivyofanya kupambana na maradhi ya Ukimwi kutoka asilimia nane hadi asilimia 4.7 iliyopo Sasa.

Cc; Eatv

#KoncepttvUpdates

Related

Tags: KILIMANJARONGONO ZEMBERAIS KIKWETEWizara ya AfyaWIZARA YA MAENDELEO YA JAMII
MTEWELE ALFRED

MTEWELE ALFRED

Related Posts

KANISA LAPOROMOKA MEXICO NA KUUWA WATU 10
HABARI

KANISA LAPOROMOKA MEXICO NA KUUWA WATU 10

by SUZO SHUKRANI
Oct 2, 2023
HABARI

TAKRIBAN WAHAMIAJI 10 WAMEFARIKI NA WENGINE 25 KUJERUHIWA KATIKA AJALI YA LORI NCHINI MEXICO

by SUZO SHUKRANI
Oct 2, 2023
AIRPORT YA ZANZIBAR IPO BUSY KULIKO YA DAR ES SALAAM
HABARI

AIRPORT YA ZANZIBAR IPO BUSY KULIKO YA DAR ES SALAAM

by SUZO SHUKRANI
Oct 2, 2023
MIFUMO YA KIFEDHA KULINDWA ZAIDI
BIASHARA

MIFUMO YA KIFEDHA KULINDWA ZAIDI

by SUZO SHUKRANI
Oct 2, 2023
SIKU 7 ZATOLEWA MILANGO KUBADILISHWA
HABARI

SIKU 7 ZATOLEWA MILANGO KUBADILISHWA

by SUZO SHUKRANI
Oct 2, 2023
TWENDE BUTIAMA YAANZA RASMI KUTOKA DAR MPAKA BUTIAMA
HABARI

TWENDE BUTIAMA YAANZA RASMI KUTOKA DAR MPAKA BUTIAMA

by SUZO SHUKRANI
Oct 2, 2023

KRANTZ MWANTEPELE (FOUNDER & CEO)

KONCEPT TV

https://www.youtube.com/watch?v=0HP0mB_rtIU&t=7s
KONCEPT TV

KONCEPT TWEETS

July 2023
M T W T F S S
 12
3456789
10111213141516
17181920212223
24252627282930
31  
« Jun   Aug »
Currently Playing
  • About
  • Advertise
  • Privacy & Policy
  • Contact

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

No Result
View All Result
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

Welcome Back!

Login to your account below

Forgotten Password?

Retrieve your password

Please enter your username or email address to reset your password.

Log In