Mkurugenzi mtendaji wa hospitali ya taifa Muhimbili, Prof. Mohamed Janabi, amezindua duka jipya la dawa la jamii katika tawi la Mloganzila.
Katika uzinduzi huo ameeleza kuwa duka hilo lipo kwa ajili ya kuweka dawa na vifaa vingine ambavyo havipatikani katika utaratibu wa kawaida wa hospitali. Aidha ameongeza kuwa zile dawa ambazo wagonjwa wataandikiwa pia zitapatikana wa taratibu zinazo kubaliwa, pia kutakuwa na mahitaji mengine madogo madogo kama vile sabuni, miswaki, dawa za meno n.k.
Uzinduzi wa duka hilo utasaidia wagojnwa na wateja mbalimbli hasa wale wanaotoka maeneo ya mbali, kwanki itawapunguzia mzigo na gharama za kubeba vitu kutoka mbali bdala yake wanaweza kupata mahitaji hayo katika duka hilo lililop katika hospitali hiyo ya Mloganzila.
#mn h-mloganzilaTv
#KonceptTvUpdates