Klabu ya #Nottigham Forest, imemsajili mchezaji Antony Elanga akitokea katika klabu ya Uingereza ya Manchester United.
Mchezaji huyo raia wa SWEDEN mwenye umri wa miaka 21 amejiunga na Nottigham Forest FC kwa mkataba wa miaka mitano, huku dau la makataba huo likiwa ni Euro milioni 15.
Elanga alijiunga na mfumo wa vijana wa Manchester United wenye umri wa miaka 12 na kushinda tuzo ya Jimmy Murphy Mchezaji bora chipukizi wa mwaka 2020.
Alianza kucheza kwa mara ya kwanza ktika klbu hiyo katika mchezo wa Ligi kuu ya Uingereza dhidi ya Leiceter City Mei 2021. Aliiwakilisha Sweden katika viwango vya chini ya miaka 17, 19 na 20, kabla ya kucheza kwa mara ya kwanza katika timu ya taifa yw wakubwa mwaka wa 2022.
#NFFC
#FOREST TV
#KonceptTvUpdates