Kupitia kipindi cha Alasiri Lounge Azam TV, Klabu ya Azam FC “Wanalambalamba kutokea Chamazi) wamepata nafasi ya kutambulisha Jezi zake mpya zitakazotumika katika Msimu wa Soka Ujao.
Katika Timu nne zinazoshikilia nafasi ya Juu kabisa Azam FC inakuwa timu ya 3 ikifuata baada ya Singida Fountain Gate FC iliyofanya uzinduzi wake baada ya Yanga iliyozindua Jezi zake mpya mapema kabisa.
Hapo kesho inatazamiwa kwa upande wa Simba SC katika kuzindua Jezi zake Juu ya Kilele cha Mlima Kilimanjaro.
Nini maoni yako kuhusu jezi hizi mpya za Azama FC?
#KoncepttvUpdates