Naibu Katibu Tawala wa mkoa wa Arusha David Lyamongi,akizungumza wakati wa uzinduzi wa huduma ya NBC Connect inayowezesha kufanya miamala kwa urahisi kwa njia ya kidigitali. Hafla ya uzinduzi wa huduma hiyo ilifanyika jijini Arusha.
Baadhi ya wageni waalikwa wakifuatilia uzinduzi wa huduma ya NBC Connect inayowezesha kufanya miamala kwa urahisi kwa njia ya kidigitali. Hafla ya uzinduzi wa huduma hiyo ilifanyika jijini Arusha.
Mkuu wa kitengo cha huduma za kibenki kwa makampuni na taasisi wa NBC James Metairon akielezea namna huduma ya NBC Connect inabyoweza kurahisisha ufanyaji wa miamala kidigitali kwa wateja wa benki hiyo katika Hafla ya Uzinduzi wa huduma huo iliyofanyika jijini Arusha.