Rais wa heshima wa Simba SC na Mfanyabiashara Mohammed Dewji amesema anakaribia kukata tamaa kufuatia mchakato wa mabadiliko wa klabu hiyo kutokukamilika hadi huu ni mwaka wa sita.
Mo ameandika hayo kupitia ukurasa wake wa twitter “Transformation ya Simba bado haijakamilika huu ni mwaka wa 6, karibuni ntakata tamaa” #KoncepttvUpdates