ADVERTISEMENT
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv
Tuesday, October 3, 2023
  • Login
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
No Result
View All Result

Lake Oil Yatangazwa Kuwa Mdhamini Mkuu Tuzo za Chaguo la Mlaji Afrika 2023

Dar es Salaam

MTEWELE ALFRED by MTEWELE ALFRED
Jul 6, 2023
in BIASHARA
0
Lake Oil Yatangazwa Kuwa Mdhamini Mkuu Tuzo za Chaguo la Mlaji Afrika 2023

Mkurugenzi mtendaji wa Kampuni ya Lake Oil Tanzania Abdulrahman Mohamed (wa tatu kushoto) akiongea wakati wa hafla ya kutambulisha kampuni ya Lake Oil kama mdhamini mkuu wa Tuzo za Chagua la Mlaji Afrika 2023 (CCAA). Wengine ni wadhamini kushoto ni Furaha Mohamed kutoka Horizon Digital akifuatiwa na Mwanzilishi wa Tuzo za Chagua la Mlaji Afrika (CCAA) Diana Laizer. Wa kwanza kulia ni Azmina Mohamed kutoka mgahawa wa Samaki-Samaki akifuatiwa na Juma Nuru,mkurugenzi rasilimali watu wa Lake Oil.

0
SHARES
146
VIEWS
Share on FacebookShare on Twitter

No alternative text description for this imageKampuni ya Lake Oil Tanzania, imetangazwa kuwa mdhamini mkuu wa Tuzo za Chagua la Mlaji Afrika (CCAA) kwa mwaka huu wa 2023.

Ikiwa ni sehemu ya kusaidia walaji kutoa maoni yao juu ya ubora wa bidhaa na huduma wanazozipata sokoni, tuzo za CCAA mwaka huu zinatarajia kushindanisha makampuni mbali mbali katika tuzo zaidi ya aina 70 .

RelatedPosts

MAHAKAMA KUU YAMWAMURU BOCCO KULIPWA MILIONI 200 KWA MATUMIZI YA PICHA YAKE

MAHAKAMA KUU YAMWAMURU BOCCO KULIPWA MILIONI 200 KWA MATUMIZI YA PICHA YAKE

Sep 7, 2023

BENKI YA NBC YAZINDUA LOGO MPYA YA LIGI LA CHAMPIONSHIP

Sep 7, 2023

KITAPIGWA HAPA ALGERIA NA TAIFA STARS

Sep 6, 2023
Load More

Akizungumza katika hafla ya kuwatambulisha wadhamini ikiwemo mdhamini mkuu, Mkurugenzi Mtendaji wa CCAA Diana Laizer aliishukuru kampuni ya Lake Oil kwa kukubali kuwa mdhamini mkuu na kuyataka makampuni mengine yenye nia ya kudhamini kujitokeza.

“Kwa niaba ya CCAA napaenda kushukuru kampuni ya Lake Oil kwa kukubali kuwa mdhamini mkuu wa tuzo za CCAA k mwaka 2023. Udhamini wao unaonyesha namna ambavyo kampuni inatambua na kuunga mkono nafasi ya walaji au wateja kutoa maoni yao kwa bidhaa na huduma wanazozitumia,” alisema

Kwa upande wake mkurugenzi mtendaji wa Lake Oil Abdulrahman Mohamed alisema kampuni yake inajivunia kuwa sehemu ya wadhamini wa tuzo hizo ambazo imekuwa ikishiriki tangu zilipoanza.

“Tumekuwa tukishiriki katika tuzo hizi tangu zilipoanza. Kwetu sisi tuzo hizi zimetujenga sana kwa kuwa zimetusaidia kupata mrejesho kutoka kwa watumiaji wa bidhaa zetu na kutupa nafasi ya kuboresha huduma na bidhaa zetu kulingana na wateja wanavyotaka,” alisema

Azmina Mohamed ambaye ni meneja masoko wa mgahawa wa Samaki-Samaki ambao pia ni wadhamini wa tuzo hizo, alisema Samaki-Samaki wameamua kudhami ni tuzo hizo kutokana na umuhimu wake.

“Tuzo hizi ni muhimu sana kwa kuwa zinatoa mrejesho kwa watoa huduma na kwa hiyo zinachochea utoaji wa huduma bora jambo ambalo linasaidia kukuza
biashara. Sisi kama Samaki-Samaki tumeona ni jambo jema kuunga mkono tuzo hizi kutokana na umuhimu wake,” alisemaNo alternative text description for this imageMwanzilishi wa Tuzo za Chagua la Mlaji Afrika (CCAA) Diana Laizer (wa pili kulia) akipeana mkono na mkurugenzi mtendaji wa Lake Oil Abdulrahman Mohamed (wa tatu kushoto) muda mfupi baada ya kampuni ya Lake Oil kutangazwa mdhamini mkuu wa CCAA 2023. Wanaoshuhudia ni wadhamini wengine, kushoto ni Furaha Mohamed kutoka Horizon Digital akifuatiwa na Azmina Mohamed kutoka mgahawa wa Samaki-Samaki na kulia ni Juma Nuru,mkurugenzi rasilimali watu wa Lake Oil.

 

Related

Tags: CONSUMER CHOICE AWARDSDar es SalaamLAKE OIL
MTEWELE ALFRED

MTEWELE ALFRED

Related Posts

MIFUMO YA KIFEDHA KULINDWA ZAIDI
BIASHARA

MIFUMO YA KIFEDHA KULINDWA ZAIDI

by SUZO SHUKRANI
Oct 2, 2023
BENKI YA NMB YAZINDUA HATI FUNGANI YA MUDA WA KATI
BIASHARA

BENKI YA NMB YAZINDUA HATI FUNGANI YA MUDA WA KATI

by SUZO SHUKRANI
Sep 25, 2023
Maurel and Prom: Empowering Tanzania’s Sustainable Energy Economy
BIASHARA

Maurel and Prom: Empowering Tanzania’s Sustainable Energy Economy

by I am Krantz
Sep 22, 2023
NMB BANK YAZINDUA NURU YANGU SCHOLARSHIP DIRISHA LA PILI
BIASHARA

NMB BANK YAZINDUA NURU YANGU SCHOLARSHIP DIRISHA LA PILI

by SUZO SHUKRANI
Sep 15, 2023
VODACOM TANZANIA FOUNDATION YAWADHAMINI WAENDESHA BAISKELI WA TWENDE BUTIAMA
BIASHARA

VODACOM TANZANIA FOUNDATION YAWADHAMINI WAENDESHA BAISKELI WA TWENDE BUTIAMA

by SUZO SHUKRANI
Sep 13, 2023
MAVUNDE ABAINISHA DIRA SEKTA YA MADINI KUELEKEA 2030
BIASHARA

MAVUNDE ABAINISHA DIRA SEKTA YA MADINI KUELEKEA 2030

by SUZO SHUKRANI
Sep 12, 2023

KRANTZ MWANTEPELE (FOUNDER & CEO)

KONCEPT TV

https://www.youtube.com/watch?v=0HP0mB_rtIU&t=7s
https://www.youtube.com/watch?v=n2ZyFC8Lgig
KONCEPT TV

KONCEPT TWEETS

July 2023
M T W T F S S
 12
3456789
10111213141516
17181920212223
24252627282930
31  
« Jun   Aug »
Currently Playing
  • About
  • Advertise
  • Privacy & Policy
  • Contact

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

No Result
View All Result
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

Welcome Back!

Login to your account below

Forgotten Password?

Retrieve your password

Please enter your username or email address to reset your password.

Log In