Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akizindua Mradi wa Maji wa Liuli uliopo katika Kijiji cha Hongi Wilaya ya Nyasa leo tarehe 23 Julai 2023 akiwa ziarani mkoani Ruvuma. Wengine katika picha ni Naibu Waziri wa Maji Mhandisi Maryprisca Mahundi, Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Kanali Laban Thomas, Mbunge wa Jimbo la Nyasa Mhandisi Stella Manyanya pamoja na Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Ruvuma Oddo Mwisho.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akifungua maji mara baada ya kuzindua Mradi wa Maji wa Liuli uliopo katika Kijiji cha Hongi Wilaya ya Nyasa leo tarehe 23 Julai 2023 akiwa ziarani mkoani Ruvuma. Kushoto ni Naibu Waziri wa Maji Mhandisi Maryprisca Mahundi na Mbunge wa Jimbo la Nyasa Mhandisi Stella Manyanya.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akizungumza na wananchi wa Kijiji cha Hongi mara baada ya kuzindua Mradi wa Maji wa Liuli uliopo katika Kijiji cha Hongi Wilaya ya Nyasa leo tarehe 23 Julai 2023 akiwa ziarani mkoani Ruvuma.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akitazama ngoma ya mganda inayochezwa na wanyeji wa Wilaya ya Nyasa mara baada ya kuwasili Kijiji cha Hongi kwaajili ya kuzindua Mradi wa Maji wa Liuli uliopo katika Kijiji cha Hongi Wilaya ya Nyasa leo tarehe 23 Julai 2023 akiwa ziarani mkoani Ruvuma.