ADVERTISEMENT
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv
Tuesday, October 3, 2023
  • Login
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
No Result
View All Result

“MANDONGA HAKUWEZA LALA VIZURI BAADA YA KUMPA KICHAPO” -WANYONYI

Kenya

MTEWELE ALFRED by MTEWELE ALFRED
Jul 25, 2023
in MICHEZO
0
“MANDONGA HAKUWEZA LALA VIZURI BAADA YA KUMPA KICHAPO” -WANYONYI
0
SHARES
132
VIEWS
Share on FacebookShare on Twitter

NTV Kenya on Twitter: "Kenya's Daniel Wanyonyi beats Tanzania's Karim  Mandonga in their boxing rematch in Nairobi. https://t.co/ZHMA3NySVq" /  TwitterWanyonyi alisema alinuia kumwadhibu Mandonga ambaye awali alimshinda kwa kipigo cha kiufundi (Technical) katika pambano lisilo la ubingwa la uzani wa super middle weight lililoandaliwa katika Ukumbi wa Kenyatta International Conventional Center (KICC) jijini Nairobi Januari mwaka huu.

Kufuatia ushindi wake wa Jumamosi, bondia huyo wa Kenya alisema angeweza kumaliza pambano hilo katika raundi za mapema, lakini alijizuia kwa kuwaheshimu mashabiki.

RelatedPosts

MAHAKAMA KUU YAMWAMURU BOCCO KULIPWA MILIONI 200 KWA MATUMIZI YA PICHA YAKE

MAHAKAMA KUU YAMWAMURU BOCCO KULIPWA MILIONI 200 KWA MATUMIZI YA PICHA YAKE

Sep 7, 2023

BENKI YA NBC YAZINDUA LOGO MPYA YA LIGI LA CHAMPIONSHIP

Sep 7, 2023

KITAPIGWA HAPA ALGERIA NA TAIFA STARS

Sep 6, 2023
Load More

Kulingana naye, alitaka kuwapa mashabiki thamani ya pesa zao kwa kuandaa mechi ya kuburudisha.

“Ingawa nilimwangusha mara mbili, sikutaka kumtoa mchezoni mapema. Nilikuwa na wasiwasi kwamba mashabiki hawangepata thamani ya pesa walizolipa kutazama pambano ikiwa ningemaliza mchezo mapema,” Wanyonyi alisema.

Aliongeza: “Nilikuwa na uhakika kwamba hangeweza kunipiga wakati huu, kwa hiyo nikamwadhibu. Nina hakika hakupata usingizi mzuri.”

Alihusisha ushindi wake na maandalizi ya kutosha aliyojiwekea kabla ya kukutana na Mandonga katika pambano lisilo la ubingwa ambalo lilifanyika Sarit Centre Expo jijini Nairobi wikendi iliyopita.

Wanyonyi aliibuka mshindi kwa pointi baada ya kuwatoa Mandonga katika raundi ya sita na kumi ya pambano hilo lililokuwa likitarajiwa.

Kwa upande wake, Mandonga, ambaye alidhibiti pambano vyema katika raundi tatu za kwanza, alimpongeza Wanyonyi kwa ushindi wake, lakini aliapa kulipiza kisasi kwa bondia huyo wa Kenya katika mechi yao inayofuata.

“Hakuna kitu kibaya kilichotokea, nimepoteza pambano hili, nampongeza, leo ameshinda, kesho nitakuwa mimi,” alisema Mandonga.

Kufuatia ushindi wake wa Jumamosi, rekodi ya Wanyonyi sasa iko (29-15-2), wakati rekodi ya Mandonga iko (6-4-2).

#citizentvkenya

 

Related

Tags: Dar es SalaamKenyaMANDONGA VS WANYONYIWIZARA YA MICHEZO
MTEWELE ALFRED

MTEWELE ALFRED

Related Posts

TUNZAA YATANGAZA USHIRIKIANO MKUBWA NA KAMPUNI YA VODACOM KUPITIA M-PESA 
HABARI

TUNZAA YATANGAZA USHIRIKIANO MKUBWA NA KAMPUNI YA VODACOM KUPITIA M-PESA 

by I am Krantz
Sep 29, 2023
RAMADHAN BROTHERS WASHIKA NAFASI YA TANO AMERICA GOT TALENT
HABARI

RAMADHAN BROTHERS WASHIKA NAFASI YA TANO AMERICA GOT TALENT

by SUZO SHUKRANI
Sep 29, 2023
MCHEZO WA MWAKINYO MPAKA HIVI SASA MAMBO BADO MAGUMU
HABARI

MCHEZO WA MWAKINYO MPAKA HIVI SASA MAMBO BADO MAGUMU

by SUZO SHUKRANI
Sep 29, 2023
TZ, KENYA NA UGANDA RASMI KUANDAA AFCON 2027
HABARI

TZ, KENYA NA UGANDA RASMI KUANDAA AFCON 2027

by SUZO SHUKRANI
Sep 27, 2023
SIMBA KUWAKOSA WACHEZAJI WATATU MCHEZO WA MARUDIANO
HABARI

SIMBA KUWAKOSA WACHEZAJI WATATU MCHEZO WA MARUDIANO

by SUZO SHUKRANI
Sep 27, 2023
USHINDI WA TWIGA STARS WAMLETA RAIS SAMIA
HABARI

USHINDI WA TWIGA STARS WAMLETA RAIS SAMIA

by SUZO SHUKRANI
Sep 27, 2023

KRANTZ MWANTEPELE (FOUNDER & CEO)

KONCEPT TV

https://www.youtube.com/watch?v=0HP0mB_rtIU&t=7s
KONCEPT TV

KONCEPT TWEETS

July 2023
M T W T F S S
 12
3456789
10111213141516
17181920212223
24252627282930
31  
« Jun   Aug »
Currently Playing
  • About
  • Advertise
  • Privacy & Policy
  • Contact

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

No Result
View All Result
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

Welcome Back!

Login to your account below

Forgotten Password?

Retrieve your password

Please enter your username or email address to reset your password.

Log In