Waziri wa wa Elimu, Sayansi na Teknalojia Prof Adolph Mkenda (wa tatu kulia) akishuhudia mkurugenzi mtendaji wa benki ya NBC Theobald Sabi (kushoto) akisaini mkataba pamoja na Kaimu Katibu mkuu wa Wizara hiyo Prof James Mdoe (kulia). Kupitia mkataba huo uliosainiwa jijini Dodoma, benki ya NBC itatoa ufadhili wa masomo ya ufundi kwa wanafunzi 1,000. Wengine pichani ni wafanyakazi wa wizara ya elimu na benki ya NBC.
Waziri wa wa Elimu, Sayansi na Teknalojia Prof Adolph Mkenda (kati kati) akishuhudia mkurugenzi mtendaji wa benki ya NBC Theobald Sabi (kushoto) na Kaimu Katibu mkuu wa Wizara hiyo Prof James Mdoe (kulia) wakibadilishana nakala za mikataba. Kupitia mkataba huo uliosainiwa jijini Dodoma, benki ya NBC itatoa ufadhili wa masomo ya ufundi kwa wanafunzi 1,000. Wengine pichani ni wafanyakazi wa wizara ya elimu na benki ya NBC.
Mkurugenzi mtendaji wa benki ya NBC Theobald SabI akizungumza wakati wa hafla ya kutiliana saini mkataba wa makubaliano kati ya benki hiyo na wa Elimu, Sayansi na Teknalojia. Kupitia mkataba huo uliosainiwa jijini Dodoma, benki ya NBC itatoa ufadhili wa masomo ya ufundi kwa wanafunzi 1,000.