ADVERTISEMENT
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv
Tuesday, October 3, 2023
  • Login
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
No Result
View All Result

NMB Yatarajia Kusajili na Kutoa Kadi za Uanachama wa Yanga Kuanzia Julai 10 Mwaka Huu

Dar es Salaam

MTEWELE ALFRED by MTEWELE ALFRED
Jul 8, 2023
in BIASHARA
0
NMB Yatarajia Kusajili na Kutoa Kadi za Uanachama wa Yanga Kuanzia Julai 10 Mwaka Huu
0
SHARES
90
VIEWS
Share on FacebookShare on Twitter

No alt text provided for this imageBenki ya NMB kupitia matawi yake yote nchi nzima kuanza rasmi Jumatatu tarahe 10 Julai, 2023, kusajili na kutoa kadi za uanachama wa Yanga.

✅Mwanachama wa Yanga akifungua akaunti atalipia Shilingi 34,000 kama kianzio cha kupata kadi ya Yanga (Shilingi 5,000 ni malipo ya kadi, 5,000 amana ya kuanzia na shilingi 24,000 ni ada ya Mwanachama kwa mwaka mzima).

RelatedPosts

FISTON MAYELE ATAMBULISHWA RASMI PYRAMIDS FC

FISTON MAYELE ATAMBULISHWA RASMI PYRAMIDS FC

Jul 30, 2023

2 Job Vacancies at NMB Bank PLC

Jul 30, 2023

Jul 29, 2023
Load More

✅Mwanachama wa Yanga atalipia Shilingi 29,000 kama kianzio cha kupata kadi ya Yanga ambayo ni kadi ya Malipo ya kabla(Prepaid Card) shillingi 5,000 ni malipo ya kadi na shilingi 24,000 ni ada ya Mwanachama kwa mwaka mzima).

✅ Kadi hizi hazitakua za uanachama/ushabiki tu, pia zina uwezo wa kufanya kazi kama kadi ya Benki! Unaweza kufanya miamala yote ya kibenki ikiwemo kuiwekea pesa, kutoa hela katika ATM na kufanya malipo mtandaoni na katika vituo vya malipo (POS).

✅Wanachama wanaweza kupata kadi za Malipo ya Kabla (Prepaid Card) ambayo huitaji kuwa na akaunti nasi na kufanya malipo kwa kupitia mtandao au kwenye Point of Sales (POS).

✅ Wanachama wa Yanga watanufaika na huduma na ofa mbalimbali za NMB ikiwemo mikopo isiyokua na dhamana (Mshiko Fasta) na punguzo la bei wakifanya malipo kupitia NMB Lipa Mkononi (QR).

✅ Mbali na huduma za uanachama, NMB itaanzisha Bima ya Mwananchi ambayo itakua na gharama nafuu.No alt text provided for this imageNo alt text provided for this image

 

Related

Tags: NMB BANKUSAJILIYANGA
MTEWELE ALFRED

MTEWELE ALFRED

Related Posts

MIFUMO YA KIFEDHA KULINDWA ZAIDI
BIASHARA

MIFUMO YA KIFEDHA KULINDWA ZAIDI

by SUZO SHUKRANI
Oct 2, 2023
BENKI YA NMB YAZINDUA HATI FUNGANI YA MUDA WA KATI
BIASHARA

BENKI YA NMB YAZINDUA HATI FUNGANI YA MUDA WA KATI

by SUZO SHUKRANI
Sep 25, 2023
Maurel and Prom: Empowering Tanzania’s Sustainable Energy Economy
BIASHARA

Maurel and Prom: Empowering Tanzania’s Sustainable Energy Economy

by I am Krantz
Sep 22, 2023
NMB BANK YAZINDUA NURU YANGU SCHOLARSHIP DIRISHA LA PILI
BIASHARA

NMB BANK YAZINDUA NURU YANGU SCHOLARSHIP DIRISHA LA PILI

by SUZO SHUKRANI
Sep 15, 2023
VODACOM TANZANIA FOUNDATION YAWADHAMINI WAENDESHA BAISKELI WA TWENDE BUTIAMA
BIASHARA

VODACOM TANZANIA FOUNDATION YAWADHAMINI WAENDESHA BAISKELI WA TWENDE BUTIAMA

by SUZO SHUKRANI
Sep 13, 2023
MAVUNDE ABAINISHA DIRA SEKTA YA MADINI KUELEKEA 2030
BIASHARA

MAVUNDE ABAINISHA DIRA SEKTA YA MADINI KUELEKEA 2030

by SUZO SHUKRANI
Sep 12, 2023

KRANTZ MWANTEPELE (FOUNDER & CEO)

KONCEPT TV

https://www.youtube.com/watch?v=0HP0mB_rtIU&t=7s
KONCEPT TV

KONCEPT TWEETS

July 2023
M T W T F S S
 12
3456789
10111213141516
17181920212223
24252627282930
31  
« Jun   Aug »
Currently Playing
  • About
  • Advertise
  • Privacy & Policy
  • Contact

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

No Result
View All Result
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

Welcome Back!

Login to your account below

Forgotten Password?

Retrieve your password

Please enter your username or email address to reset your password.

Log In