ADVERTISEMENT
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv
Saturday, September 23, 2023
  • Login
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
No Result
View All Result

RAIS SAMIA ANENA – “VIJANA WASIENDE ULAYA KUJITAFUTA ILI KUPATA MAISHA BORA”

Dar es Salaam

MTEWELE ALFRED by MTEWELE ALFRED
Jul 26, 2023
in HABARI
0
RAIS SAMIA ANENA – “VIJANA WASIENDE ULAYA KUJITAFUTA ILI KUPATA MAISHA BORA”
0
SHARES
44
VIEWS
Share on FacebookShare on Twitter

RAIS wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, Mh Dkt. Samia Suluhu Hassan ameshiriki Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Afrika kuhusu Rasilimali Watu hapa Jijini Dar es salaam leo July 26, 2023 ambapo amewasihi Viongozi wenzake kuwekeza kwenye kuinua maisha bora ya Watu ili Vijana wapate maisha bora wakiwa hapahapa Afrika na wasilazimike kufikiria kwenda Ulaya kutafuta maisha bora.

“Lazima tujidhatiti kutumia rasilimali Watu tuliyonayo kwa manufaa yetu, idadi kubwa ya Vijana Afrika ni fursa pekee ya mageuzi ya kiuchumi, badala ya kuwaacha Vijana hawa wavuke Bahari, wapigwe njiani wazamishwe kwamba wanakwenda Ulaya kutafuta maisha bora, maisha bora watayapata Afrika tukiwaendeleza”

RelatedPosts

HISTORIA YA KIHISTORIA: UZINDUZI WA JENGO LA MAKAO MAKUU YA PAPU TANZANIA

HISTORIA YA KIHISTORIA: UZINDUZI WA JENGO LA MAKAO MAKUU YA PAPU TANZANIA

Sep 4, 2023

MMAREKANI MWEUSI WA KWANZA KUSAFIRI SAFARI ZA ANGA ZA NJE

Aug 30, 2023

FAHAMU MABADILIKO YALIYOFANYWA NA RAIS SAMIA SERIKALINI

Aug 30, 2023
Load More

“Lazima tuwafundishe Watoto wetu pia kuhusu uzazi wa mpangilio, kama nilivyosema Afrika population yetu ni kubwa na inaweza kutupa tija au inaweza kutuletea mambo yasiyofaa kama hatukuitumia vizuri”

“Tuhakikishe pia elimu tunayotoa inawapa uwezo Vijana wetu kuongeza tija na kujenga uchumia, pia tuongeze uwekezaji kwenye sekta nyingine zinazoleta ufanisi katika huduma za elimu na afya, tuwekeze kwenye njia za usafiri na usafirishaji, maji, umeme, usafi wa mazingira na zaidi”

#KonceptTvUpdates

Related

Tags: DAR ES ASALAAMIKULU MAWASILIANOWIZARA YA MAENDELEO YA JAMII
MTEWELE ALFRED

MTEWELE ALFRED

Related Posts

Maurel and Prom: Empowering Tanzania’s Sustainable Energy Economy
BIASHARA

Maurel and Prom: Empowering Tanzania’s Sustainable Energy Economy

by I am Krantz
Sep 22, 2023
DR KONGO YATAKA MONUSCO KUONDOKA HARAKA
HABARI

DR KONGO YATAKA MONUSCO KUONDOKA HARAKA

by SUZO SHUKRANI
Sep 21, 2023
HAIER TANZANIA NA AZAM TV WAUNGANA KUKIWASHA KWA PAMOJA
HABARI

HAIER TANZANIA NA AZAM TV WAUNGANA KUKIWASHA KWA PAMOJA

by SUZO SHUKRANI
Sep 21, 2023
MNH YAFANYA UPASUAJI WA KWANZA TUNDU DOGO MOJA
AFYA

MNH YAFANYA UPASUAJI WA KWANZA TUNDU DOGO MOJA

by SUZO SHUKRANI
Sep 21, 2023
SBL KUUNGANISHA TAMADUNI KUPITIA OKTOBA FEST
HABARI

SBL KUUNGANISHA TAMADUNI KUPITIA OKTOBA FEST

by SUZO SHUKRANI
Sep 21, 2023
TAWA YATAKIWA KUJIPANGA KUONGEZA UKUSANYAJI MAPATO
HABARI

TAWA YATAKIWA KUJIPANGA KUONGEZA UKUSANYAJI MAPATO

by SUZO SHUKRANI
Sep 21, 2023

KRANTZ MWANTEPELE (FOUNDER & CEO)

KONCEPT TV

https://www.youtube.com/watch?v=0HP0mB_rtIU&t=7s
KONCEPT TV

KONCEPT TWEETS

July 2023
M T W T F S S
 12
3456789
10111213141516
17181920212223
24252627282930
31  
« Jun   Aug »
Currently Playing
  • About
  • Advertise
  • Privacy & Policy
  • Contact

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

No Result
View All Result
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

Welcome Back!

Login to your account below

Forgotten Password?

Retrieve your password

Please enter your username or email address to reset your password.

Log In