ADVERTISEMENT
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv
Thursday, October 5, 2023
  • Login
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
No Result
View All Result

RC QUEEN SENDIGA ” SITAKI KUSIKIA MTOTO AMEFUKUZWA SHULENI”

Manyara

MTEWELE ALFRED by MTEWELE ALFRED
Jul 4, 2023
in HABARI
0
RC QUEEN SENDIGA ” SITAKI KUSIKIA MTOTO AMEFUKUZWA SHULENI”
0
SHARES
137
VIEWS
Share on FacebookShare on Twitter

Mkuu wa Mkoa wa Manyara Queen Sendiga amepiga marufuku wanafunzi kurudishwa nyumbani na kushindwa kuendelea na masomo kwasababu za mzazi kushindwa kuchangia bajeti ya chakula shuleni.

Hatua hiyo imechukuliwa ni baada ya Wananchi kulalamika wanafunzi kurudishwa nyumbani kwa kushindwa Kuchangia chakula shuleni.

RelatedPosts

WAZIRI AWESO AZINDUA MRADI WA MAJI KALIUA, TABORA

WAZIRI AWESO AZINDUA MRADI WA MAJI KALIUA, TABORA

Aug 1, 2023

ZAIDI YA BIL. 31 KUTUMIKA KUKARABATI UWANJA WA MKAPA

Jul 28, 2023

RAIS SAMIA ANENA – “VIJANA WASIENDE ULAYA KUJITAFUTA ILI KUPATA MAISHA BORA”

Jul 26, 2023
Load More

RC Sendiga ametoa agizo hilo wakati akizungumza na wananchi wa Kata ya Galapo mkoani humo ambapo amesema suala la watoto kula shuleni haliwezi kuepukika “Maelekezo ya Serikali nimarufuku mzazi kukwepa jukumu la mtoto kula shuleni lakini ni muhimu Wazazi na Kamati za shule zikae pamoja kujadili namna bora ya kuwahudumia wanafanzi chakula shuleni kulingana na hali ilivyo na sio waalimu kupanga utaratibu wanaoutaka wao,sitaki kusikia mtoto anafukuzwa shuleni waiteni wazazi mtengeneze Kamati maalumu kwaajili ya kuratibu namna ya upatikanaji wa chakula shuleni”

“Watoto wapo mtaani wamefukuzwa shuleni Wazazi hawana chakula,Mzazi anaenda kununua Kilo moja akale yeye na watoto na apeleke shuleni atapata wapi? hatuna kazi wala vibarua na mavuno shambani hakuna kumekauka,tunaomba hili ulifanyie kazi Mama”

Related

Tags: IKULU MAWASILIANOMANYARAWIZARA YA ELIMUWIZARA YA MAENDELEO YA JAMII
MTEWELE ALFRED

MTEWELE ALFRED

Related Posts

SERIKALI KUTUMIA GESI ILI KUZALISHA UMEME NCHINI
HABARI

SERIKALI KUTUMIA GESI ILI KUZALISHA UMEME NCHINI

by SUZO SHUKRANI
Oct 4, 2023
RAIS DKT. MWINYI AKUTANA NA MKUU WA JESHI LA NCHI KAVU WA INDIA
HABARI

RAIS DKT. MWINYI AKUTANA NA MKUU WA JESHI LA NCHI KAVU WA INDIA

by SUZO SHUKRANI
Oct 4, 2023
WANAFUNZI 8,000 WA STASHAHADA KUPATA MKOPO WA ELIMU
HABARI

WANAFUNZI 8,000 WA STASHAHADA KUPATA MKOPO WA ELIMU

by SUZO SHUKRANI
Oct 4, 2023
‘KUWE NA MIKAKATI MADHUBUTI KUKABILIANA NA MAJANGA YA MOTO’
HABARI

‘KUWE NA MIKAKATI MADHUBUTI KUKABILIANA NA MAJANGA YA MOTO’

by SUZO SHUKRANI
Oct 4, 2023
TET YAWASILISHA RASIMU ZA MITAALA MIPYA KWA MAAFISA ELIMU NCHINI
HABARI

TET YAWASILISHA RASIMU ZA MITAALA MIPYA KWA MAAFISA ELIMU NCHINI

by SUZO SHUKRANI
Oct 4, 2023
BEI Y MAFUTA YAPANDA TENA NCHINI
BIASHARA

BEI Y MAFUTA YAPANDA TENA NCHINI

by SUZO SHUKRANI
Oct 4, 2023

KRANTZ MWANTEPELE (FOUNDER & CEO)

KONCEPT TV

https://www.youtube.com/watch?v=0HP0mB_rtIU&t=7s
KONCEPT TV

KONCEPT TWEETS

July 2023
M T W T F S S
 12
3456789
10111213141516
17181920212223
24252627282930
31  
« Jun   Aug »
Currently Playing
  • About
  • Advertise
  • Privacy & Policy
  • Contact

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

No Result
View All Result
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

Welcome Back!

Login to your account below

Forgotten Password?

Retrieve your password

Please enter your username or email address to reset your password.

Log In