Simba SC imetangaza kumsajili mshambuliaji wa Cameroon Leandre Willy Onana Essomba kwa mkataba wa miaka miwili.
Onana amekuwa na miaka miwili yenye mafanikio akikipiga ndani ya Rayon Sports ya Ligi Kuu ya nchini Rwanda iliyomaliza msimu wa 2022/23 kama mfungaji bora wa ligi.
Anakuwa mchezaji wa kwanza Kutambulishwa kupitia Usajili wa Diridha kubwa wa msimu huu na wengineo kufuatia.