Timu ya Singida Fountain Gate FC, imetangaza siku ya Singida Big Day, itakayo fanyika siku ya Jumatano tarehe 02/08/2023, katika uwnja wa CCM LITI Mashabiki wajiandae kufahamu kikosi kamili cha msimu wa 2023/24 pamoja na burudani ya mechi kali ya kimataifa itahusika siku hiyo.
Aidha Mashabiki wameomba kununua jezi ili uwanja ukapambwe na rangi za jezi mpya ya msimu huu. “Endelea kujipatia Jersey original ya Singida Fountain Gate Fc kwa Bei ya Tsh 30,000 pekee Jersey hizi zinapatikana kwenye duka letu lililopo Singida mjini na kwa mikoani na nje ya nchi tunafanya delivery”
#SingidaBigDay
#SioYaMchezoMchezo
#KonceptTvUpdates