Shirikisho la Soka Nchini, TFF limeeleza kuwa Timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) imepangwa kundi E katika nafasi ya kushiriki kufuzu Kombe la Dunia 2026.
Taifa Stars ni miongoni mwa timu zinazotokea ukanda wa kusini mwa Jangwa la Sahara na zimepata nafasi hio ya kushiriki mara nyingi katika kuwania kufuzu Michuano ya Fainali ya Kombe la Dunia, japo haijawahi kufanikiwa kufikia kiwango bora cha kutinga hatua hio.
@TaifaStars_ @CAF_Online @fifa @serengetilager_tz
#KoncepttvUpdates