Simba SC imetangaza ramsi huduma za kifalme kwa mashabiki watakao nunua tiketi za PLATINUM ambazo Kila moja inauzwa kwa TSH. 200,000 tu. Tiketi hiyo imeambatana na ofa kama vile;
Usafiri wa kwenda na kurudi wenye escort kutoka HYATT, VIP A ACCESS, Huduma ya chakula na vinywaji uwanajani pamoja na jezi mpya ya msimu huu.
Ikiwa ni Safari ya kuelekeza kile cha “Simba Day”, itakayo fanyika Agost 6. Aidha katika siku hiyo Simba SC itacheza mechi ya kimataifa ya kirafiki dhidi ya Power Dynamos kutoka nchini Zambia.
#SimbaSC_EN
#SimbaSCTanzania
#KonceptTvUpdates