Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Bw. Alphayo J. Kidata (kulia) akiwa katika mazoezi ya pamoja na Watumishi wa TRA Mkoa wa Kikodi wa Kariakoo wakati wa Bonanza la michezo la TRA na Wafanyabiashara wa Kariakoo lililofanyika tarehe 1 Julai, 2023, Dar es Salaam.
Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Bw. Alphayo J. Kidata (wa pili kulia) akimkabidhi tuzo Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Mhe. Albert Chalamila kwa mchango wake wa kuboresha mahusiano bora kati ya TRA Na Wafanyabiashara wa Kariakoo.