ADVERTISEMENT
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv
Tuesday, October 3, 2023
  • Login
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
No Result
View All Result

WATEJA KURUDISHIWA MPAKA 10% WAKILIPIA KWA SIMU BIDHAA MBALIMBALI BANDA LA VODACOM TANZANIA SABASABA, DAR ES SALAAM

Dar es Salaam

MTEWELE ALFRED by MTEWELE ALFRED
Jul 2, 2023
in BIASHARA
0
WATEJA KURUDISHIWA MPAKA 10% WAKILIPIA KWA SIMU BIDHAA MBALIMBALI BANDA LA VODACOM TANZANIA SABASABA, DAR ES SALAAM
0
SHARES
85
VIEWS
Share on FacebookShare on Twitter

No alt text provided for this imageMkurugenzi wa M-Pesa, Bw. Epimack Mbeteni (katikati) akiwa amejumuika na wateja kupata huduma za M-Pesa kwenye banda la Vodacom Tanzania katika maonyesho ya 47 ya Biashara ya Kimataifa ya Sabasaba yaliyoanza Juni 28 hadi Julai 13, 2023 katika viwanja vya Mwalimu J.K. Nyerere, jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki. Katika msimu huu wa Sabasaba watanzania watarudishiwa mpaka 10% ya pesa wakilipia bidhaa kwa simu (M-Pesa). Vile vile wanayo fursa ya kununua simu kwa bei nafuu kwa pesa taslimu au mkopo na kunufaika na hadi GB 96 kwa mwaka. Huduma nyingine ni pamoja na kuunganishwa Vodabima na kupata router za intaneti za 5G.No alt text provided for this imageMtoa Huduma wa Vodacom Tanzania, Emmanuel Gichoto (kulia) akizungumza na mmojawapo wa wateja waliotembelea katika banda la Vodacom Tanzania katika maonyesha ya 47 ya Biashara ya Kimataifa ya Sabasaba yaliyoanza Juni 28 hadi Julai 13, 2023 katika viwanja vya Mwalimu J.K. Nyerere, jijini Dar es Salaam kwa ajili ya manunuzi ya simu mwishoni mwa wiki. Katika msimu huu wa sabasaba watanzania watarudishiwa mpaka 10% ya pesa wakilipia bidhaa kwa simu (M-Pesa). Vile vile wanayo fursa ya kununua simu kwa bei nafuu kwa pesa taslimu au mkopo na kunufaika na hadi GB 96 kwa mwaka.No alt text provided for this imageWakala wa Mauzo ya Simu, Husna Maturia (kushoto) akizungumza na mmojawapo wa wateja waliotembelea katika banda la Vodacom Tanzania katika maonyesha ya 47 ya Biashara ya Kimataifa ya Sabasaba yaliyoanza Juni 28 hadi Julai 13, 2023 katika viwanja vya Mwalimu J.K. Nyerere, jijini Dar es Salaam kwa ajili ya manunuzi ya simu mwishoni mwa wiki. Katika msimu huu wa sabasaba watanzania watarudishiwa mpaka 10% ya pesa wakilipia bidhaa kwa simu (M-Pesa). Vile vile wanayo fursa ya kununua simu kwa bei nafuu kwa pesa taslimu au mkopo na kunufaika na hadi GB 96 kwa mwaka.No alt text provided for this imageWakala wa Mauzo ya Simu, Isabela Nangabo (kushoto) akizungumza na mmojawapo wa wateja waliotembelea katika banda la Vodacom Tanzania katika maonyesha ya 47 ya Biashara ya Kimataifa ya Sabasaba yaliyoanza Juni 28 hadi Julai 13, 2023 katika viwanja vya Mwalimu J.K. Nyerere, jijini Dar es Salaam kwa ajili ya manunuzi ya simu mwishoni mwa wiki. Katika msimu huu wa sabasaba watanzania watarudishiwa mpaka 10% ya pesa wakilipia bidhaa kwa simu (M-Pesa). Vile vile wanayo fursa ya kununua simu kwa bei nafuu kwa pesa taslimu au mkopo na kunufaika na hadi GB 96 kwa mwaka.

 

RelatedPosts

MAHAKAMA KUU YAMWAMURU BOCCO KULIPWA MILIONI 200 KWA MATUMIZI YA PICHA YAKE

MAHAKAMA KUU YAMWAMURU BOCCO KULIPWA MILIONI 200 KWA MATUMIZI YA PICHA YAKE

Sep 7, 2023

BENKI YA NBC YAZINDUA LOGO MPYA YA LIGI LA CHAMPIONSHIP

Sep 7, 2023

KITAPIGWA HAPA ALGERIA NA TAIFA STARS

Sep 6, 2023
Load More

Related

Tags: Dar es SalaamMaonyesho ya sabasabaVODACOM
MTEWELE ALFRED

MTEWELE ALFRED

Related Posts

MIFUMO YA KIFEDHA KULINDWA ZAIDI
BIASHARA

MIFUMO YA KIFEDHA KULINDWA ZAIDI

by SUZO SHUKRANI
Oct 2, 2023
BENKI YA NMB YAZINDUA HATI FUNGANI YA MUDA WA KATI
BIASHARA

BENKI YA NMB YAZINDUA HATI FUNGANI YA MUDA WA KATI

by SUZO SHUKRANI
Sep 25, 2023
Maurel and Prom: Empowering Tanzania’s Sustainable Energy Economy
BIASHARA

Maurel and Prom: Empowering Tanzania’s Sustainable Energy Economy

by I am Krantz
Sep 22, 2023
NMB BANK YAZINDUA NURU YANGU SCHOLARSHIP DIRISHA LA PILI
BIASHARA

NMB BANK YAZINDUA NURU YANGU SCHOLARSHIP DIRISHA LA PILI

by SUZO SHUKRANI
Sep 15, 2023
VODACOM TANZANIA FOUNDATION YAWADHAMINI WAENDESHA BAISKELI WA TWENDE BUTIAMA
BIASHARA

VODACOM TANZANIA FOUNDATION YAWADHAMINI WAENDESHA BAISKELI WA TWENDE BUTIAMA

by SUZO SHUKRANI
Sep 13, 2023
MAVUNDE ABAINISHA DIRA SEKTA YA MADINI KUELEKEA 2030
BIASHARA

MAVUNDE ABAINISHA DIRA SEKTA YA MADINI KUELEKEA 2030

by SUZO SHUKRANI
Sep 12, 2023

KRANTZ MWANTEPELE (FOUNDER & CEO)

KONCEPT TV

https://www.youtube.com/watch?v=0HP0mB_rtIU&t=7s
KONCEPT TV

KONCEPT TWEETS

July 2023
M T W T F S S
 12
3456789
10111213141516
17181920212223
24252627282930
31  
« Jun   Aug »
Currently Playing
  • About
  • Advertise
  • Privacy & Policy
  • Contact

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

No Result
View All Result
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

Welcome Back!

Login to your account below

Forgotten Password?

Retrieve your password

Please enter your username or email address to reset your password.

Log In