ADVERTISEMENT
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv
Tuesday, October 3, 2023
  • Login
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
No Result
View All Result

WAZIRI MKUU AIPONGEZA BENKI YA NBC KWA KUSAIDIA AFYA YA UZAZI

Dodoma

MTEWELE ALFRED by MTEWELE ALFRED
Jul 23, 2023
in HABARI
0
WAZIRI MKUU AIPONGEZA BENKI YA NBC KWA KUSAIDIA AFYA YA UZAZI
0
SHARES
113
VIEWS
Share on FacebookShare on Twitter

Waziri Mkuu wa Jamuhuri wa Muunngano wa Tanzania Kassim Majaliwa, ameipongeza Benki ya Taifa ya Biashara (NBC) kwa kuandaa mbio za NBC Marathon ambazo zinalenga kukusanya fedha kwa ajili ya kusaidia afya ya uzazi na saratani ya shingo ya kizazi.

Akiongea muda mfupi baada ya mbio hizo kumalizika jijijini Dodoma, Waziri Mkuu alisema Serikali inatambua na kuthamini mchango wa sekta binafsi katika kuiunga mkono kwenye kutatua changamoto mbali mbali zinazoikabili jamii.

RelatedPosts

MCHANGO WA MIKOPO YA ELIMU KWA WANAFUNZI WA SHULE BINAFSI NCHINI TANZANIA

MCHANGO WA MIKOPO YA ELIMU KWA WANAFUNZI WA SHULE BINAFSI NCHINI TANZANIA

Aug 29, 2023

NBC yakabidhi Basi Jipya Lenye Thamani ya Tsh. 470 Milioni kwa Klabu ya Singida Fountain Gate FC

Aug 4, 2023

MWAROBAINI WA TATIZO LA NGUVU ZA KIUME WAPATIKANA

Aug 1, 2023
Load More

“Serikali inathamini mchango mkubwa unaotolewa na benki ya NBC. Tunafurahishwa na ushirikiano mzuri kati ya Taasisi ya Kansa ya Ocean Road, Taasisi ya Benjamini Mkapa pamoja na Chama cha Riadha Tanzania ambao umekuwa ukiwezesha kukusanya fedha kwa ajili ya kusaida mapambano dhidi ya saratani ya shingo ya kizazi na mwaka huu likiongezeka eneo la afya ya uzazi. Serikali inapongeza jitihada hizi nzuri,” alisema

Kwa upande wake Mkurugenzi Mtendaji wa benki ya NBC Theobald Sabi alisema baada ya kumalizika kwa mbio z mwaka huu, benki hiyo inayo furaha kuandaa
mbio za mwaka ujao ikiwa ni baada ya kuandaa mbio hizo kwa mara tatu mfululizo kwa ufanisi.

“Baada ya kuandaa mbio hizi kwa mara ya nne mfululizo, tunayo furaha kuanza maandalizi ya msimu wa nne. Fedha zilizopatikana leo shilingi milioni 500
zitatumika kusaidia mapambano dhidi ya saratani ya shingo ya kizazi,” alisema

Aliongeza “Tunaendelea na jitiahada za kuunga mkono mapambano dhidi ya saratani ya shingo ya kizazi. Mpaka sasa tumefanikiwa kukusanya zaidi ya shilingi milioni 500 zilizosaidia kufikia upimaji wa saratani ya shingo ya kizazi kwa wanawake zaidi ya 23,500 na matibabu kwa zaidi ya wanawake 1,300. Benki ya
NBC inawapongeza na kuwashuru washiriki wote kutoka nje na ndani ya nchi kwa kuweza kufanikisha mbio za mwaka huu.
MWISHO………….

No alternative text description for this imageWaziri Mkuu Kassim Majaliwa (wa pili kushoto) akishiriki katika mbio za NBC Dodoma Marathon 2023 pamoja na Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NBC Theobald Sabi (wa pili kulia). Wengine wa kwanza kulia ni mkuu wa mkoa wa Dodoma Rosemary Senyamule na kushoto ni mkuu wa wilaya ya Dodoma Jabir Shekimweri. Mbio za mwaka huu zimefanikiwa kukusanya shilingi milioni 500 zitakazotumika kusaidia mapambano dhidi ya saratani ya shingo ya kizazi na afya ya uzazi kwa wanawake.No alternative text description for this imageWaziri Mkuu Kassim Majaliwa (kushoto) akimpongeza Waziri wa Utamaduni. Sanaa na Michezo Pindi Chana baada ya kushiriki mbio za NBC Dodoma Marathon 2023. Wanaoshuhudia wa kwanza kulia ni Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NBC Theobald Sabi. Mbio za mwaka huu zimefanikiwa kukusanya
shilingi milioni 500 zitakazotumika kusaidia mapambano dhidi ya saratani ya shingo ya kizazi na afya ya uzazi kwa wanawake.
No alternative text description for this imageWaziri Mkuu Kassim Majaliwa akimvisha medali mmoja wa washindi wa NBC Dodoma Marathon 2033. Wanaoshuhudia ni Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Pindi Chana (kushoto) na Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NBC Theobald Sabi. Mbio za mwaka huu zimefanikiwa kukusanya shilingi milioni
500 zitakazotumika kusaidia mapambano dhidi ya saratani ya shingo ya kizazi na afya ya uzazi kwa wanawake.No alternative text description for this image
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa (wa nne kushoto) akiwa katika picha ya pamoja na wadhami ni wa NBC Dodoma Marathon 2023 pamoja na viongozi wa Benki ya NBC na viongozi wa mkoa wa Dodoma muda mfupi baada ya kumalizika kwa mbio hizo. Mbio za mwaka huu zimefanikiwa kukusanya shilingi milioni
500 zitakazotumika kusaidia mapambano dhidi ya saratani ya shingo ya kizazi na afya ya uzazi kwa wanawake.No alternative text description for this image
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa (wa nne kushoto) akikabidhi mfano wa hundi yenye thamani ya shilingi milioni 107 kwa Taasisi ya Benjamini Mkapa Foundation . Fedha hizo ni sehemu ya fedha zilizopatikana kutokana na mbio za NBC Dodoma Marathon 2023 na zitakwenda kufadhili mafunzo ya wakunga ili kuongeza wataalamu watakaosaidia kuokoa vifo vinavyotokana na uzazi kwa akina mama.

Related

Tags: DODOMANBC BankNBC MARATHON 2023OFISI YA WAZIRI MKUU
MTEWELE ALFRED

MTEWELE ALFRED

Related Posts

KANISA LAPOROMOKA MEXICO NA KUUWA WATU 10
HABARI

KANISA LAPOROMOKA MEXICO NA KUUWA WATU 10

by SUZO SHUKRANI
Oct 2, 2023
HABARI

TAKRIBAN WAHAMIAJI 10 WAMEFARIKI NA WENGINE 25 KUJERUHIWA KATIKA AJALI YA LORI NCHINI MEXICO

by SUZO SHUKRANI
Oct 2, 2023
AIRPORT YA ZANZIBAR IPO BUSY KULIKO YA DAR ES SALAAM
HABARI

AIRPORT YA ZANZIBAR IPO BUSY KULIKO YA DAR ES SALAAM

by SUZO SHUKRANI
Oct 2, 2023
MIFUMO YA KIFEDHA KULINDWA ZAIDI
BIASHARA

MIFUMO YA KIFEDHA KULINDWA ZAIDI

by SUZO SHUKRANI
Oct 2, 2023
SIKU 7 ZATOLEWA MILANGO KUBADILISHWA
HABARI

SIKU 7 ZATOLEWA MILANGO KUBADILISHWA

by SUZO SHUKRANI
Oct 2, 2023
TWENDE BUTIAMA YAANZA RASMI KUTOKA DAR MPAKA BUTIAMA
HABARI

TWENDE BUTIAMA YAANZA RASMI KUTOKA DAR MPAKA BUTIAMA

by SUZO SHUKRANI
Oct 2, 2023

KRANTZ MWANTEPELE (FOUNDER & CEO)

KONCEPT TV

https://www.youtube.com/watch?v=0HP0mB_rtIU&t=7s
KONCEPT TV

KONCEPT TWEETS

July 2023
M T W T F S S
 12
3456789
10111213141516
17181920212223
24252627282930
31  
« Jun   Aug »
Currently Playing
  • About
  • Advertise
  • Privacy & Policy
  • Contact

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

No Result
View All Result
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

Welcome Back!

Login to your account below

Forgotten Password?

Retrieve your password

Please enter your username or email address to reset your password.

Log In