ADVERTISEMENT
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv
Tuesday, October 3, 2023
  • Login
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
No Result
View All Result

WAZIRI UMMY ALIA NA MADAKTARI WANAOTOA TAARIFA ZA FARAGHA ZA WAGONJWA

Dodoma

MTEWELE ALFRED by MTEWELE ALFRED
Jul 13, 2023
in HABARI
0
WAZIRI UMMY ALIA NA MADAKTARI WANAOTOA TAARIFA ZA FARAGHA ZA WAGONJWA
0
SHARES
30
VIEWS
Share on FacebookShare on Twitter

Coronavirus - Tanzania: Muri Dar es Salaam ngo hasigaye abarwayi bane gusa - BBC News GahuzaWaziri wa Afya Mhe. Ummy Mwalimu amemuelekeza Mganga Mkuu wa Serikali Prof. Tumaini Nagu kushughulikia maadili ya kitabibu kwa madaktari wanaokiuka taratibu za kitabibu na kutoa taarifa za faragha za wagonjwa hadharani.

Waziri Ummy ametoa maelekezo hayo kufuatia taarifa iliyotolewa na Mganga Mfawidhi Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Sokoine Lindi, Dkt. Baraka Steven kuzungumzia faragha ya mgonjwa kinyume na maadili ya kitabibu ambayo inaelekeza taarifa za mgonjwa ni siri.

RelatedPosts

WATU 128 WAPATA HUDUMA YA KUPUNGUZA UZITO ULIOPITILIZA

WATU 128 WAPATA HUDUMA YA KUPUNGUZA UZITO ULIOPITILIZA

Aug 2, 2023

FAIDA ZA ULAJI WA PARACHICHI KIAFYA

Aug 1, 2023

MUHIMBILI YAKIDHI VIGEZO KUSHUGHULIKIA DHARURA AFCON 2027

Aug 1, 2023
Load More

Kufuatia taarifa iliyotolewa na mtandao wa EATV, wadau mbalimbali waliibuka na kujadili iwapo ni sahihi kwa daktari kuzungumza na vyombo vya habari kuelezea faragha za mgonjwa bila ridhaa yake.

“Faragha ya mgonjwa ni moja kati ya sheria kuu chache za taaluma ya afya, hapa tuna taarifa zote za mgonjwa kuanzia jina, umri, jinsi yake, makazi na ugonjwa wake, tumeweka taarifa zake za siri kuwa taairfa ya habari” alihoji Bwana Sales Nicco (@OnlineDentistT)

“Upo sawa, hii ni kinyume na ethics za kitabibu. Namuelekeza Mganga Mkuu wa Serikali kulifuatilia na kunipatia Taarifa” amesema Waziri @ummymwalimu akimjibu Bwana Nicco.

#KoncepttvUpdates

Related

Tags: MAADILIWaziri UmmyWizara ya Afya
MTEWELE ALFRED

MTEWELE ALFRED

Related Posts

KANISA LAPOROMOKA MEXICO NA KUUWA WATU 10
HABARI

KANISA LAPOROMOKA MEXICO NA KUUWA WATU 10

by SUZO SHUKRANI
Oct 2, 2023
HABARI

TAKRIBAN WAHAMIAJI 10 WAMEFARIKI NA WENGINE 25 KUJERUHIWA KATIKA AJALI YA LORI NCHINI MEXICO

by SUZO SHUKRANI
Oct 2, 2023
AIRPORT YA ZANZIBAR IPO BUSY KULIKO YA DAR ES SALAAM
HABARI

AIRPORT YA ZANZIBAR IPO BUSY KULIKO YA DAR ES SALAAM

by SUZO SHUKRANI
Oct 2, 2023
MIFUMO YA KIFEDHA KULINDWA ZAIDI
BIASHARA

MIFUMO YA KIFEDHA KULINDWA ZAIDI

by SUZO SHUKRANI
Oct 2, 2023
SIKU 7 ZATOLEWA MILANGO KUBADILISHWA
HABARI

SIKU 7 ZATOLEWA MILANGO KUBADILISHWA

by SUZO SHUKRANI
Oct 2, 2023
TWENDE BUTIAMA YAANZA RASMI KUTOKA DAR MPAKA BUTIAMA
HABARI

TWENDE BUTIAMA YAANZA RASMI KUTOKA DAR MPAKA BUTIAMA

by SUZO SHUKRANI
Oct 2, 2023

KRANTZ MWANTEPELE (FOUNDER & CEO)

KONCEPT TV

https://www.youtube.com/watch?v=0HP0mB_rtIU&t=7s
KONCEPT TV

KONCEPT TWEETS

July 2023
M T W T F S S
 12
3456789
10111213141516
17181920212223
24252627282930
31  
« Jun   Aug »
Currently Playing
  • About
  • Advertise
  • Privacy & Policy
  • Contact

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

No Result
View All Result
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

Welcome Back!

Login to your account below

Forgotten Password?

Retrieve your password

Please enter your username or email address to reset your password.

Log In