Skudu ni mchezaji mwenye uzoefu mkubwa katika Soka kwani ameweza kucheza katika vilabu mbalinali, hivi ni miongoni mwa vilabu alivyowahi vitumikia kabla ya kutua Yanga, amewahi kipiga mnamo klabu ya; Mamelod Sundowns, Orlando Pirates, Chippa United na Highland Park, zote hizo ni za nchini Afrika Kusini.
Sasa Uongozi wa Young Africans wameamua kumtumia msanii Juma Jux “JUX” na wimbo wake ili kunogesha utambulisho rasmi wa nyota huyo.