Ziara inayoendelea ya Msanii wa Kike wa Marekani Taylor Swift inakusanya zaidi ya dola milioni 13 (ni sawa na Bilioni 31.4-tsh. Pesa Taslim za Kitanzania) kwa usiku mmoja katika mauzo ya tiketi, na hivyo kumweka katika nafasi ya kufikia ziara iliyoingiza pesa nyingi zaidi katika historia ya muziki!
Ziara hiyo, inayoitwa Eras, tayari imeingiza dola milioni 300 kupitia tarehe 22 na iko mbioni kuvuka $1 bilioni kwa jumla. Bei ya wastani ya tiketi ya Swift ya $254 inachangia kupanda kwa bei za tamasha, na saba kati ya 25 bora hutoza zaidi ya $200 kwa usiku.
Cc; WEALTH