Mkurugenzi wa Kampuni ya Meta Mark Zuckerberg ameonekana akifanya mazoezi na magwiji wawili wa Ngumi za Kulipwa waaliowahi kushinda mataji ya Mapambano ya juu kabisa kwa kutwaa Mkanda wa UFC World Champions, Israel Adesanya na Alexander Volkanovski kabla ya pambano lake linalowezekana kutokea kati yake na Elon Musk !!
Mark Zuckerberg na Elon Musk wamekuwa wakifanya mazoezi kwa sana MMA katika wiki kadhaa zilizopita.
Unafikiri pambano hili litatokea kweli?!