Arsenal imekamilisha uhamisho wa mlinda mlango mpya, David Raya, kutoka Brentford. Hata hivyo, kocha wa Arsenal, Mikel Arteta, amesema kwa sasa hawana mipango ya kufanya usajili mwingine, ingawa alikiri kwamba dirisha la usajili linaweza kutoa mshangao na mambo yanaweza kubadilika.
#KonceptTvUpdates