ADVERTISEMENT
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv
Saturday, September 23, 2023
  • Login
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
No Result
View All Result

Benki ya Equity na Taasisi ya Mwanamke Initiative Foundation yashirikiana kuendeleza vijana na wanawake Zanzibar

I am Krantz by I am Krantz
Aug 31, 2023
in HABARI
0
Benki ya Equity na Taasisi ya Mwanamke Initiative Foundation yashirikiana kuendeleza vijana na wanawake Zanzibar
0
SHARES
49
VIEWS
Share on FacebookShare on Twitter

Zanzibari, Kuelekea kilele cha Tamasha la kizimkazi , Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania Mh. Dkt. Samia Suluhu Hassan ametembelea katika banda la benki ya Equity kushilikiana na Taasisi ya Mwanamke Initiative Foundation (MIF).

RelatedPosts

Maurel and Prom: Empowering Tanzania’s Sustainable Energy Economy

Maurel and Prom: Empowering Tanzania’s Sustainable Energy Economy

Sep 22, 2023

DR KONGO YATAKA MONUSCO KUONDOKA HARAKA

Sep 21, 2023

HAIER TANZANIA NA AZAM TV WAUNGANA KUKIWASHA KWA PAMOJA

Sep 21, 2023
Load More

Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Equity Bi. Isabela Maganga akielezea juu ya mikakati ya benki yetu na ushirikiano  na Taasisi ya MIF kwa Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania Mh. Dkt. Samia Suluhu Hassan apo jana Zanzibar.  

Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Equity Bi. Isabela Maganga alisema: Kizimkazi na Mkoa wa kusini Unguja kwa ujumla ni sehemu ya utekelezaji wetu wa dhamira ya benki ambapo inalenga kubadilisha maisha ya wananchi kiuchumi na kijamii kwa kuwawezesha vijana ,wanawake, na wajasiliamali wadogo na wakubwa kwa kushilikiana na Taasisi ya MIF.

Ushirikiano wa benki ya Equity na Taasisi ya MIF umelenga kuleta maendeleo apa Zanzibar kwa watoto wa kike na vijana kwa ujumla, ikiwa lengo kwa upande wa vijana ni kuwaongezea ujuzi kupitia VETA ikiwa ni kusaidia katika suala zima la nishati na mazingira kwa kuhakikisha kaya zinapata nishati safi za kupikia ili kupunguza uchafuzi wa mazingira na kuwaepusha na magonjwa yanayosababishwa na matumizi ya nishati chafu kama kuni na mkaa, kuhakikisha vijana wanashiriki kwenye upandaji miti na kulinda vyanzo vya maji pia ili kukabiliana na mabadiliko ya tabia ya nchi.

Alisema:lengo pia ni kutoa elimu kwa wajasiriamali wadogo wakike haswa ya kifedha na jinsi ya kuendesha biashara zao ili ziweze kukua na kutengeneza faida itakayosaidia kuendesha maisha yao.Pamoja na hayo, tutaingia makubaliano ya dhamana wezeshi kusaidia kupunguza hatari ya mikopo kwa wajasiriamali wadogo na wa kati. Wengi wamekuwa wakishindwa kulipa mikopo yao sio kwa sababu biashara mbaya bali ni kukosa elimu ya kifedha.

Related

I am Krantz

I am Krantz

👉 FOUNDER & CEO of KONCEPT 👉Serial & Self-made Entrepreneur 👉Digital media consultant 👉Pr & media Guru/Awards winner Blogger 👉Startuper of the year 2016 by TOTAL 👉TOP 50 Most influential young Tanzania 2017 👉General Secretary at Tanzania Bloggers Network 👉 UPG Sustainability Leader in the Class of 2021 👉 ALUMNI The Tony Elumelu Foundation 👉Chairman YOUNG CEO CLUB Tanzania 🇹🇿 ‘ 😊 Marketer BY Education, Entrepreneur BY Profession & Blogger BY Passion ”😊

Related Posts

Maurel and Prom: Empowering Tanzania’s Sustainable Energy Economy
BIASHARA

Maurel and Prom: Empowering Tanzania’s Sustainable Energy Economy

by I am Krantz
Sep 22, 2023
DR KONGO YATAKA MONUSCO KUONDOKA HARAKA
HABARI

DR KONGO YATAKA MONUSCO KUONDOKA HARAKA

by SUZO SHUKRANI
Sep 21, 2023
HAIER TANZANIA NA AZAM TV WAUNGANA KUKIWASHA KWA PAMOJA
HABARI

HAIER TANZANIA NA AZAM TV WAUNGANA KUKIWASHA KWA PAMOJA

by SUZO SHUKRANI
Sep 21, 2023
MNH YAFANYA UPASUAJI WA KWANZA TUNDU DOGO MOJA
AFYA

MNH YAFANYA UPASUAJI WA KWANZA TUNDU DOGO MOJA

by SUZO SHUKRANI
Sep 21, 2023
SBL KUUNGANISHA TAMADUNI KUPITIA OKTOBA FEST
HABARI

SBL KUUNGANISHA TAMADUNI KUPITIA OKTOBA FEST

by SUZO SHUKRANI
Sep 21, 2023
TAWA YATAKIWA KUJIPANGA KUONGEZA UKUSANYAJI MAPATO
HABARI

TAWA YATAKIWA KUJIPANGA KUONGEZA UKUSANYAJI MAPATO

by SUZO SHUKRANI
Sep 21, 2023

KRANTZ MWANTEPELE (FOUNDER & CEO)

KONCEPT TV

https://www.youtube.com/watch?v=0HP0mB_rtIU&t=7s
KONCEPT TV

KONCEPT TWEETS

August 2023
M T W T F S S
 123456
78910111213
14151617181920
21222324252627
28293031  
« Jul   Sep »
Currently Playing
  • About
  • Advertise
  • Privacy & Policy
  • Contact

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

No Result
View All Result
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

Welcome Back!

Login to your account below

Forgotten Password?

Retrieve your password

Please enter your username or email address to reset your password.

Log In