Wakati huu ambao msimu wa ligi kuu Tanzania bara NBC PL inatarajiwa kutimua vumbi katika viwanja mblimbali, hapo jana Azam FC walipalangana vikali na Kitayosce FC. Mchezo ambao ulipigwa katika dimba la Azam Complex Chamazi, ndan ya dakika 12 mchezo ulitamatia kutkana n sababu za kisheria mara bada ya timu ya Kitayosce FC kupungua kwa wachezaji m]na kufikia idadi ambayo hairuhusu mchezo kuendelea.
Katika mchezo huo Feisal Salum alifunga magoli 3 ndani ya dakika 12, na kufanya hat-trick ya kwanza ya msimu. hadi sasa kinara wa wafungaji ni Feisal Salum mwenye magoli 3.
Ukiwa kama mfuatiliaji wa mpira wa miguu unaweza ukatuambia ni hat-trick ipi uliishuhudia kufungwa katika dakika kama hizo.
#KonceptTvUpadtes