ADVERTISEMENT
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv
Saturday, September 23, 2023
  • Login
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
No Result
View All Result

KINONDONI WILAYA YENYE FUKWE MAARUFU DAR ES SALAAM

SUZO SHUKRANI by SUZO SHUKRANI
Aug 25, 2023
in MAKALA
0
KINONDONI WILAYA YENYE FUKWE MAARUFU DAR ES SALAAM
0
SHARES
21
VIEWS
Share on FacebookShare on Twitter

 

RelatedPosts

Maurel and Prom: Empowering Tanzania’s Sustainable Energy Economy

Maurel and Prom: Empowering Tanzania’s Sustainable Energy Economy

Sep 22, 2023

DR KONGO YATAKA MONUSCO KUONDOKA HARAKA

Sep 21, 2023

HAIER TANZANIA NA AZAM TV WAUNGANA KUKIWASHA KWA PAMOJA

Sep 21, 2023
Load More

 

Ukiuliza ni wilaya gani miaka ya nyuma ilisumbuwa sana kwa bata na sehemu nyingi za mapumziko ndani ya jiji la dar es salaam kabla ya kuongezeka kwa wilaya za Ubungo na Kigamboni basi Kinondoni ilikuwa kiboko yao japo kwa sasa unapozungumzia fukwe za Bahari nzuri na nyingi lazima uanze na wilaya ya Kinondoni.

 

Manispaa ya Kinondoni imebarikiwa kuwa na eneo kubwa la fukwe safi na tulivu katika Pwani ya bahari ya Hindi kuanzia maeneo ya Oysteybay (Coco beach), Kawe beach, Mbezi beach, Kunduchi hadi Ununio.

 

Maeneo haya ya fukwe yana madhari nzuri kwa ajili ya mapumziko kwa kuwa na upepo mwanana wa bahari. Fukwe pia huwawezesha wakazi wa Jiji la Dar es Salaam kushiriki michezo mbalimbali ya kwenye maji ikiwemo kuogelea, matembezi, riadha, burudani n.k.

 

Kunduchi Beach yenye mabwawa makubwa ya kuogelea pamoja na Uwanda mkubwa wa Bahari unaotumika kwa michezo ya kukimbizana kwa pikipiki za majini ni kivutio kikubwa cha utalii katika Manispaa ya Kinondoni. Katika hoteli hii kuna maeneo yaliyotengenezwa kwa ajili ya michezo ya watoto na migahawa ya vyakula ambavyo hutia hamasa kutembelea maeneo haya.

 

Wakazi wa Jiji la Dar es Salaam na wageni mbalimbali pia wanapata fursa ya kufanya utalii wa bahari kwa kutembelea visiwa vilivyopo katika bahari ya Hindi vikiwemo Bongoyo, Pungavini, Mwakatumbe, Mbudya, na Sinda.

 

Vyakula safi vya asili ikiwemo samaki, vinywaji pamoja na michezo ya kwenye maji kwa kutumia vifaa maalum zikiwemo boti ni burudani tosha kwa wakazi wa Jiji la Dar es Salaam na wageni mbalimbali wanazozipata kwa uwepo wa fukwe.

 

#KonceptTVUpdates

Related

SUZO SHUKRANI

SUZO SHUKRANI

Related Posts

MOROCCO VS SAHARA MAGHARIBI DIPLOMASIA ILIYOPOTEA ZAIDI YA MIAKA 45
KIMATAIFA

MOROCCO VS SAHARA MAGHARIBI DIPLOMASIA ILIYOPOTEA ZAIDI YA MIAKA 45

by SUZO SHUKRANI
Sep 13, 2023
MAMBO YA KUFANYA WEEKEND YAKO IWE BORA
HABARI

MAMBO YA KUFANYA WEEKEND YAKO IWE BORA

by SUZO SHUKRANI
Sep 8, 2023
PLASTIKI UCHAFU HATARISHI KWA VIUMBE WA BAHARI
HABARI

PLASTIKI UCHAFU HATARISHI KWA VIUMBE WA BAHARI

by SUZO SHUKRANI
Sep 4, 2023
MWANI MMEA WENYE FAIDA KUBWA KIAFYA TOKA BAHARINI
AFYA

MWANI MMEA WENYE FAIDA KUBWA KIAFYA TOKA BAHARINI

by SUZO SHUKRANI
Aug 30, 2023
ZIJUE FAIDA TANO ZA KUITUNZA BAHARI
MAKALA

ZIJUE FAIDA TANO ZA KUITUNZA BAHARI

by SUZO SHUKRANI
Aug 25, 2023

KRANTZ MWANTEPELE (FOUNDER & CEO)

KONCEPT TV

https://www.youtube.com/watch?v=0HP0mB_rtIU&t=7s
KONCEPT TV

KONCEPT TWEETS

August 2023
M T W T F S S
 123456
78910111213
14151617181920
21222324252627
28293031  
« Jul   Sep »
Currently Playing
  • About
  • Advertise
  • Privacy & Policy
  • Contact

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

No Result
View All Result
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

Welcome Back!

Login to your account below

Forgotten Password?

Retrieve your password

Please enter your username or email address to reset your password.

Log In