Tiketi zote za mechi ya kwanza ya Lionel Messi ugenini akiwa na Inter Miami dhidi ya FC Dallas zilimalizika dakika chache baada ya kuuzwa, na hivyo kuonyesha matarajio makubwa ya mashabiki wa MLS kuona Muargentina huyo mashuhuri akicheza moja kwa moja!
Ingawa Messi ameichezea Inter Miami mechi tatu pekee hadi sasa, tayari ameshafunga mabao matano na kufanya makubwa kwenye timu hiyo.
Tikiti za bei kati ya 299 na 600 ziliuzwa ndani ya dakika 10, huku mashabiki 20,000 wakiwa wamejipanga kujaa kwenye uwanja wa FC Dallas kumwona Messi akicheza mechi yake ya kwanza ugenini MLS.
Uwepo wake pengine utafanya soka kuwa maarufu zaidi katika US5h157
Kulingana na ubora wa Messi na alivyoanza kuingia katika mfumo wa Ligi hiyo ya Marekani Mashabiki na Wadau wengi wa Soka wanatarajia makubwa zaidi huku wakitoa maoni yao kama ifuatavyo;
Baadhi wameandika kuwa ‘Atakuwa na vizuri katika MLS,na Ligi hiyo pekee, itakuwa kubwa kuliko awali.’
Wengine wanaona matokeo yatakuwa bora zaidi katika ukuzaji wa vipaji vipya vya Sika nchini Marekani.
Cc; Wealth
#KonceptTvUpdates