ADVERTISEMENT
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv
Tuesday, October 3, 2023
  • Login
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
No Result
View All Result

MUHIMBILI YAFANYA UPASUAJI WA KWANZA KUONDOA BANDAMA

SUZO SHUKRANI by SUZO SHUKRANI
Aug 26, 2023
in AFYA
0
MUHIMBILI YAFANYA UPASUAJI WA KWANZA KUONDOA BANDAMA
0
SHARES
24
VIEWS
Share on FacebookShare on Twitter

 

RelatedPosts

KANISA LAPOROMOKA MEXICO NA KUUWA WATU 10

KANISA LAPOROMOKA MEXICO NA KUUWA WATU 10

Oct 2, 2023

TAKRIBAN WAHAMIAJI 10 WAMEFARIKI NA WENGINE 25 KUJERUHIWA KATIKA AJALI YA LORI NCHINI MEXICO

Oct 2, 2023

AIRPORT YA ZANZIBAR IPO BUSY KULIKO YA DAR ES SALAAM

Oct 2, 2023
Load More

Hospitali ya Taifa Muhimbili imefanya upasuaji mkubwa wa kuondoa bandama lenye shida kwa mgonjwa kwa njia ya matundu madogo (laparoscopic splenectomy).

Upasuaji huu ni wa kwanza kufanyika hapa nchini ambao umefanywa na madaktari wa upasuaji wa Hospitali ya Taifa ya Muhimbili kutokana na ubobezi walionao.

Dkt. Kitembo Salum Kibwana mbobezi wa upasuaji mfumo wa chakula na Ini ndiye aliyeongoza jopo la madaktari, wauguzi na watalaamu wa ganzi na usingizi kufanya Upasuaji huo.

Bandama ni kiungo cha mwili chenye nafasi katika mzunguko wa damu. Lipo ndani ya fumbatio ya mwili karibu na mfuko wa chakula ambapo kazi yake kubwa ni kuongeza seli nyeupe za damu na kuondoa seli nyekundu za damu zilizozeeka.

Kwa watoto ina jukumu la kutengeneza seli nyekundu za damu. Watu wazima kwa kawaida wanaweza kuishi bila ya bandama.

Hospitali ya Taifa Muhimbili inaendelea kuboresha huduma zake mbalimbali ikiwemo upasuaji mkubwa, uchunguzi na mifumo ya utoaji huduma kwa ujumla wake.

 

#KonceptTVUpdates

Related

SUZO SHUKRANI

SUZO SHUKRANI

Related Posts

TZ HUSAJILI WAGONJWA 42,000 WA SARATANI YA MATITI KILA MWAKA
AFYA

TZ HUSAJILI WAGONJWA 42,000 WA SARATANI YA MATITI KILA MWAKA

by SUZO SHUKRANI
Oct 2, 2023
CHANJO YA MBWA NI MUHIMU
AFYA

CHANJO YA MBWA NI MUHIMU

by SUZO SHUKRANI
Sep 29, 2023
TANZANIA KUTOKOMEZA KIFUA KIKUU IFIKAPO 2030
AFYA

TANZANIA KUTOKOMEZA KIFUA KIKUU IFIKAPO 2030

by SUZO SHUKRANI
Sep 25, 2023
TANZANIA YASHINDA TUZO YA KUELIMISHA WANANCHI KUHUSU AFYA YA KINYWA NA MENO DUNIANI KWA MWAKA 2023
AFYA

TANZANIA YASHINDA TUZO YA KUELIMISHA WANANCHI KUHUSU AFYA YA KINYWA NA MENO DUNIANI KWA MWAKA 2023

by SUZO SHUKRANI
Sep 25, 2023
MNH YAFANYA UPASUAJI WA KWANZA TUNDU DOGO MOJA
AFYA

MNH YAFANYA UPASUAJI WA KWANZA TUNDU DOGO MOJA

by SUZO SHUKRANI
Sep 21, 2023
TOTO AFYA KADI HAIJAFUTWA KILICHOBADILIKA NI UTARATIBU WA KUWASAJILI
AFYA

TOTO AFYA KADI HAIJAFUTWA KILICHOBADILIKA NI UTARATIBU WA KUWASAJILI

by SUZO SHUKRANI
Sep 19, 2023

KRANTZ MWANTEPELE (FOUNDER & CEO)

KONCEPT TV

https://www.youtube.com/watch?v=0HP0mB_rtIU&t=7s
KONCEPT TV

KONCEPT TWEETS

August 2023
M T W T F S S
 123456
78910111213
14151617181920
21222324252627
28293031  
« Jul   Sep »
Currently Playing
  • About
  • Advertise
  • Privacy & Policy
  • Contact

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

No Result
View All Result
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

Welcome Back!

Login to your account below

Forgotten Password?

Retrieve your password

Please enter your username or email address to reset your password.

Log In