NIC INSURANCE YAJIVUNIA MAFANIKIO YA TUNZO MBALIMBALI ZIKIWEMO ZA MSAJILI WA HAZINA, UTENDAJI BORA KATIKA SEKTA ZA FEDHA, SUPERBRANDS AFRIKA YA MASHARIKI, NA CHETI CHA USIMAMIZI WA UBORA WA KIMATAIFA (ISO), IKIWA NI TUNZO SABA KWA UJUMLA NDANI YA MWAKA 2023 PEKEE MPAKA SASA.
urugenzi Mtendaji wa NIC Insurance Dkt. Elirehema Doriye (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na Mkurugenzi wa Masoko na Mawasiliano wa Karim Meshack (kushoto) na Mkurugenzi wa Fedha na Uwekezaji, Lihami Masoli (kulia) kusherehekea kwa kampuni hiyo ya serikali kupatiwa cheti cha Usimamizi wa Ubora wa Kimataifa (ISO) jijini Dar es Salaam jana. Kwa mwaka huu pekee NIC imeshashinda takribani tunzo 7 ambapo hivi karibuni walipokea tunzo ya utendaji bora katika sekta za fedha pamoja na ya kutambuliwa kama kampuni bora ya huduma za bima na Superbrands kwa Ukanda wa Afrika ya Mashariki.Mkurugenzi wa Masoko na Mawasiliano wa NIC Insurance, Karim Meshack akizungumza na wageni waalikwa (hawapo pichani) kusherehekea kwa kampuni hiyo ya serikali kupatiwa cheti cha Usimamizi wa Ubora wa Kimataifa (ISO) jijini Dar es Salaam jana. Kwa mwaka huu pekee NIC imeshashinda takribani tunzo 7 ambapo hivi karibuni walipokea tunzo ya utendaji bora katika sekta za fedha pamoja na ya kutambuliwa kama kampuni bora ya huduma za bima na Superbrands kwa Ukanda wa Afrika ya Mashariki.Meneja wa Huduma za Bima za Kibenki kutoka TCB, Francis Kaaya akizungumza na wageni waalikwa (hawapo pichani) kama mdau mmojawapo wa kamkusherehekea kampuni ya NIC Insurance kupatiwa cheti cha Usimamizi wa Ubora wa Kimataifa (ISO) jijini Dar es Salaam jana. Kwa mwaka huu pekee NIC imeshashinda takribani tunzo 7 ambapo hivi karibuni walipokea tunzo ya utendaji bora katika sekta za fedha pamoja na ya kutambuliwa kama kampuni bora ya huduma za bima na Superbrands kwa Ukanda wa Afrika ya Mashariki.Mkurugenzi Mtendaji wa NIC Insurance Dkt. Elirehema Doriye (waliokaa katikati) akiwa katika picha ya pamoja na wafanyakazi wa kampuni hiyo kusherehekea kupatiwa cheti cha Usimamizi wa Ubora wa Kimataifa (ISO) jijini Dar es Salaam jana. Kwa mwaka huu pekee NIC imeshashinda takribani tunzo 7 ambapo hivi karibuni walipokea tunzo ya utendaji bora katika sekta za fedha pamoja na ya kutambuliwa kama kampuni bora ya huduma za bima na Superbrands kwa Ukanda wa Afrika ya Mashariki.
👉 FOUNDER & CEO of KONCEPT
👉Serial & Self-made Entrepreneur
👉Digital media consultant
👉Pr & media Guru/Awards winner Blogger
👉Startuper of the year 2016 by TOTAL
👉TOP 50 Most influential young Tanzania 2017
👉General Secretary at Tanzania Bloggers Network
👉 UPG Sustainability Leader in the Class of 2021
👉 ALUMNI The Tony Elumelu Foundation
👉Chairman YOUNG CEO CLUB Tanzania 🇹🇿
‘
😊 Marketer BY Education, Entrepreneur BY Profession & Blogger BY Passion ”😊