ADVERTISEMENT
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv
Thursday, October 5, 2023
  • Login
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
No Result
View All Result

PACHA WALIOUNGANA MUHIMBILI KUHAMISHIWA SAUDI ARABIA

By Shukran Suzo - Aug 23, 2023 In Habari

SUZO SHUKRANI by SUZO SHUKRANI
Aug 23, 2023
in HABARI
0
PACHA WALIOUNGANA MUHIMBILI KUHAMISHIWA SAUDI ARABIA
0
SHARES
55
VIEWS
Share on FacebookShare on Twitter

Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Taifa Muhimbili Prof. Mohamed Janabi amesema Serikali ya Saudi Arabia itasaidia na kusimamia matibabu ya kuwatenganisha watoto waliozaliwa wakiwa wameungana Hussen na Hassan wenye umri wa mwaka mmoja na miezi 11 wakazi wa Mkoa wa Tabora ambao wanaendelea na matibabu katika Hospitali ya Taifa Muhimbili.

RelatedPosts

SERIKALI KUTUMIA GESI ILI KUZALISHA UMEME NCHINI

SERIKALI KUTUMIA GESI ILI KUZALISHA UMEME NCHINI

Oct 4, 2023

RAIS DKT. MWINYI AKUTANA NA MKUU WA JESHI LA NCHI KAVU WA INDIA

Oct 4, 2023

WANAFUNZI 8,000 WA STASHAHADA KUPATA MKOPO WA ELIMU

Oct 4, 2023
Load More

Hayo yanajili wakati akiagana na Kaimu Balozi wa Saudi Arabia Nchini Tanzania Mh. Fahad Alharbi ambaye alifika Muhimbili kwa lengo la kuwajulia hali na kuwaaga watoto hao wanaotarajiwa kuondoka Tanzania Agosti 23 2023 kwa ndege maalumu ya Serikali ya Saudi Arabia, kwa ajili ya kufanyiwa upasuaji wa kuwatenganisha.

Prof. Janabi amesema hospitali ya Muhimbili ina uwezo wa kufanya upasuaji wa aina hiyo kwa kuwa ina miundombinu na wataalamu iliyojitosheleza ila kutokana namna watoto hao walivyoungana inahitaji utaalamu zaidi.

“Tumekuwa na watoto hawa kwa miezi 11 wameungana kwenye nyonga, kifua na wana miguu mitatu, upasuaji kuwatenganisha ni mkubwa zaidi hivyo kesho timu ya wataalamu wa MNH ikijumuisha madaktari wa upasuaji na wauguzi itaondoka na watoto hawa kuelekea Saudi Arabiakwa ajili ya upasuaji”

Aidha Prof. Janabi ameshukuru Serikali ya Saudi Arabia kwa msaada huo ambao utasaidia kuwarejesha watoto hao katika maisha ya kawaida.

Kwa Upande wake Daktari Bingwa wa Upasuaji wa Watoto wa MNH, Dkt. Zaitun Bhokhary amesema kuwa watoto hao walipokelewa hospitali ya taifa Muhimbili wakiwa na umri wa wiki mbili na walikuwa na changamoto mbalimbali za kiafya ambapo wamepatiwa matibabu na kutuzwa hadi kufikia hatua ya kupelekwa nchini Saudi Arabia kwa ajili ya upasuaji huo.

Dkt. Zaituni amesema wataalamu wa hospitali ya taifa Muhimbili watakaoambatana na watoto hao nchini Saudi Arabia wataruhusiwa kushiriki katika upasuaji na matibabu jambo ambalo litasaidia kuwajengea uwezo wataalamu hao.

 

#KonceptTVUpdates

Related

SUZO SHUKRANI

SUZO SHUKRANI

Related Posts

SERIKALI KUTUMIA GESI ILI KUZALISHA UMEME NCHINI
HABARI

SERIKALI KUTUMIA GESI ILI KUZALISHA UMEME NCHINI

by SUZO SHUKRANI
Oct 4, 2023
RAIS DKT. MWINYI AKUTANA NA MKUU WA JESHI LA NCHI KAVU WA INDIA
HABARI

RAIS DKT. MWINYI AKUTANA NA MKUU WA JESHI LA NCHI KAVU WA INDIA

by SUZO SHUKRANI
Oct 4, 2023
WANAFUNZI 8,000 WA STASHAHADA KUPATA MKOPO WA ELIMU
HABARI

WANAFUNZI 8,000 WA STASHAHADA KUPATA MKOPO WA ELIMU

by SUZO SHUKRANI
Oct 4, 2023
‘KUWE NA MIKAKATI MADHUBUTI KUKABILIANA NA MAJANGA YA MOTO’
HABARI

‘KUWE NA MIKAKATI MADHUBUTI KUKABILIANA NA MAJANGA YA MOTO’

by SUZO SHUKRANI
Oct 4, 2023
TET YAWASILISHA RASIMU ZA MITAALA MIPYA KWA MAAFISA ELIMU NCHINI
HABARI

TET YAWASILISHA RASIMU ZA MITAALA MIPYA KWA MAAFISA ELIMU NCHINI

by SUZO SHUKRANI
Oct 4, 2023
BEI Y MAFUTA YAPANDA TENA NCHINI
BIASHARA

BEI Y MAFUTA YAPANDA TENA NCHINI

by SUZO SHUKRANI
Oct 4, 2023

KRANTZ MWANTEPELE (FOUNDER & CEO)

KONCEPT TV

https://www.youtube.com/watch?v=0HP0mB_rtIU&t=7s
KONCEPT TV

KONCEPT TWEETS

August 2023
M T W T F S S
 123456
78910111213
14151617181920
21222324252627
28293031  
« Jul   Sep »
Currently Playing
  • About
  • Advertise
  • Privacy & Policy
  • Contact

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

No Result
View All Result
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

Welcome Back!

Login to your account below

Forgotten Password?

Retrieve your password

Please enter your username or email address to reset your password.

Log In