Klabu ya simba sports imeachana na aliyekuwa mshambuliaji wake wa kimataifa kutokea nchini Malawi baada ya kuitumikia kwa muda wa miaka miwili.
Taarifa hiyo imetolewa kupitia mitandao ya kijamii ya klabu ya simba yenye makao makuu yake Kariakoo mtaa wa msimbazi jijini dar es salaam.
#KonceptTVUpdates