Yanga SC itatupa karata yake ya kwanza katika michuano ya kimataifa CAFCL dhidi ya Asas ya Djibouti katika dimba la Azam Complex Chamazi majira ya saa 11:00 jioni.
Aidha Mashabiki wa Yanga SC wanasema Tunajivunia kuwa sehemu ya CAFCL na tuko tayari kushindana na timu yoyote. Hii ni fursa yetu ya kuonyesha vipaji vyetu na kuwapa furaha mashabiki wetu. Tumejiandaa vizuri, na tuko tayari kwa changamoto. Acha saa ya mechi ije, na tutashinda kwa pamoja!
#KonceptTvUpdates