ADVERTISEMENT
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv
Tuesday, October 3, 2023
  • Login
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
No Result
View All Result

AGRF 2023 YALETA FURSA UUZAJI MAYAI NJE YA NCHI

SUZO SHUKRANI by SUZO SHUKRANI
Sep 6, 2023
in BIASHARA, HABARI
0
AGRF 2023 YALETA FURSA UUZAJI MAYAI NJE YA NCHI
0
SHARES
27
VIEWS
Share on FacebookShare on Twitter

Waziri wa Mifugo na Uvuvi Abdallah Ulega amesema kuwa Wizara yake itatumia Mkutano wa Jukwaa la mifumo ya chakula (AGRF) kuitangazia dunia dhamira ya dhati ya kuzalisha na kuuza kwa wingi Protini itokanayo na mazao ya Mifugo na Uvuvi.

RelatedPosts

KANISA LAPOROMOKA MEXICO NA KUUWA WATU 10

KANISA LAPOROMOKA MEXICO NA KUUWA WATU 10

Oct 2, 2023

TAKRIBAN WAHAMIAJI 10 WAMEFARIKI NA WENGINE 25 KUJERUHIWA KATIKA AJALI YA LORI NCHINI MEXICO

Oct 2, 2023

AIRPORT YA ZANZIBAR IPO BUSY KULIKO YA DAR ES SALAAM

Oct 2, 2023
Load More

Waziri Ulega amebainisha hayo Septemba 05, 2023 wakati wa mahojiano yake na vyombo vya habari kwenye viunga vya ukumbi wa JNICC jijini Dar-es-salaam kunakofanyika mkutano huo ambapo amesema kuwa kwa kuanzia Wizara yake imeona fursa ya soko la mayai kwenye nchi zenye mahitaji makubwa ya chakula.

“Tunafahamu kwa sasa mashirika ya kimataifa yamekuwa yakipeleka mazao ya nafaka kwenye nchi hizo kwa hiyo na sisi tumeiona fursa ya kupeleka mazao yatakayoongeza protini ambapo tunataka sasa wafugaji wetu waongeze kiwango cha uzalishaji wa mayai na ikiwezekana tuyachemshe kabisa ili kuyaongezea thamani na kuyapeleka huko” Amesema Mhe. Ulega.

Me. Ulega ameongeza kuwa kwa sasa nguvu kubwa ya uzalishaji imeelekezwa kwa wanawake na vijana ambapo amebainisha kuwa anaamini kama kundi hilo likiwezeshwa mtaji ya kutosha na teknolojia ya kisasa litaongeza kasi ya uzalishaji wa mazao yote yatokanayo na sekta ya Mifugo na Uvuvi na hivyo kukidhi soko la ndani na nje ya nchi.

Mkutano wa Jukwaa la kimataifa la mifumo ya chakula (AGRF) utafanyika kuanzia septemba 05-08, 2023 ambapo mada mbalimbali zinazolenga kuboresha uzalishaji na masoko ya mazao yatokanayo na sekta ya kilimo kwa ujumla zitawasilishwa, kujadiliwa na kufikiwa maamuzi.

 

 

#KonceptTVUpdates

Related

SUZO SHUKRANI

SUZO SHUKRANI

Related Posts

KANISA LAPOROMOKA MEXICO NA KUUWA WATU 10
HABARI

KANISA LAPOROMOKA MEXICO NA KUUWA WATU 10

by SUZO SHUKRANI
Oct 2, 2023
HABARI

TAKRIBAN WAHAMIAJI 10 WAMEFARIKI NA WENGINE 25 KUJERUHIWA KATIKA AJALI YA LORI NCHINI MEXICO

by SUZO SHUKRANI
Oct 2, 2023
AIRPORT YA ZANZIBAR IPO BUSY KULIKO YA DAR ES SALAAM
HABARI

AIRPORT YA ZANZIBAR IPO BUSY KULIKO YA DAR ES SALAAM

by SUZO SHUKRANI
Oct 2, 2023
MIFUMO YA KIFEDHA KULINDWA ZAIDI
BIASHARA

MIFUMO YA KIFEDHA KULINDWA ZAIDI

by SUZO SHUKRANI
Oct 2, 2023
SIKU 7 ZATOLEWA MILANGO KUBADILISHWA
HABARI

SIKU 7 ZATOLEWA MILANGO KUBADILISHWA

by SUZO SHUKRANI
Oct 2, 2023
TWENDE BUTIAMA YAANZA RASMI KUTOKA DAR MPAKA BUTIAMA
HABARI

TWENDE BUTIAMA YAANZA RASMI KUTOKA DAR MPAKA BUTIAMA

by SUZO SHUKRANI
Oct 2, 2023

KRANTZ MWANTEPELE (FOUNDER & CEO)

KONCEPT TV

https://www.youtube.com/watch?v=0HP0mB_rtIU&t=7s
KONCEPT TV

KONCEPT TWEETS

September 2023
M T W T F S S
 123
45678910
11121314151617
18192021222324
252627282930  
« Aug   Oct »
Currently Playing
  • About
  • Advertise
  • Privacy & Policy
  • Contact

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

No Result
View All Result
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

Welcome Back!

Login to your account below

Forgotten Password?

Retrieve your password

Please enter your username or email address to reset your password.

Log In