ADVERTISEMENT
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv
Monday, December 4, 2023
  • Login
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
No Result
View All Result
ADVERTISEMENT

DR KONGO YATAKA MONUSCO KUONDOKA HARAKA

SUZO SHUKRANI by SUZO SHUKRANI
Sep 21, 2023
in HABARI, KIMATAIFA
0
DR KONGO YATAKA MONUSCO KUONDOKA HARAKA
0
SHARES
33
VIEWS
Share on FacebookShare on Twitter

 

Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo Felix Tshisekedi ametoa wito wa kuondolewa haraka kwa ujumbe wa walinda amani wa Umoja wa Mataifa ambao umekuwa katika taifa hilo kwa karibu miaka 25.

 

Akihutubia Mkutano wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa jijini New York hapo jana, Tshisekedi amesema ujumbe huo wa walinda amani wenye askari wapatao 15,000 umeshindwa kukabiliana na uasi wa makundi yenye silaha, kuwalinda raia na hata kurejesha amani nchini humo.

Aidha kwa mujibu wa ripoti ya DW Swahili umesema Rais huyo wa Kongo amesema kuwa ni wakati sasa wa taifa hilo kuchukua hatima yao mikononi ili kuweza kurejesha amani wakongo wenyewe.

 

“Nimeiagiza Serikali kuanza majadiliano na mamlaka za Umoja wa Mataifa ili kuhakikisha inaharakisha zoezi la kujiondoa kwa MONUSCO kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, na kubadili muda wa mwisho wa kujiondoa kwa vikosi hivyo kutoka Desemba 2024 hadi Desemba 2023,” alisema rais Tshisekedi.

Kwa miaka kadhaa sasa, suala la kuondoka kwa vikosi vya MONUSCO limekuwa kiini cha mijadala na mivutano hasa kuhusu mustakabali wa taifa hilo la Afrika ya Kati.

Mnamo mwaka 2020, Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa liliidhinisha mpango wa kujiondoa kwa awamu nchini Kongo.

ADVERTISEMENT

 

#KonceptTVUpdates

Related

ADVERTISEMENT
SUZO SHUKRANI

SUZO SHUKRANI

Related Posts

EACOP Yakamilisha Utaratibu Wa Fidia Kwa Kukabidhi Nyumba Ya 339 Mkoani Tanga
HABARI

EACOP Yakamilisha Utaratibu Wa Fidia Kwa Kukabidhi Nyumba Ya 339 Mkoani Tanga

by I am Krantz
Nov 29, 2023
MAWAKALA WA USAJILI WA VODACOM TANZANIA WATEMBELEA AFRIKA YA KUSINI KUTOKANA NA UTENDAJI BORA WA KAZI.
HABARI

MAWAKALA WA USAJILI WA VODACOM TANZANIA WATEMBELEA AFRIKA YA KUSINI KUTOKANA NA UTENDAJI BORA WA KAZI.

by I am Krantz
Nov 29, 2023
NMB, Oryx Tanzania wazindua ‘Moto Mkali Bei Poa,’ kukopesha gesi ya kupikia
HABARI

NMB, Oryx Tanzania wazindua ‘Moto Mkali Bei Poa,’ kukopesha gesi ya kupikia

by I am Krantz
Nov 27, 2023
Kampeni Ya Serengeti Maokoto Ndani Ya Kizibo Yazidi Kusambaza Furaha Kwa Watanzania
HABARI

Kampeni Ya Serengeti Maokoto Ndani Ya Kizibo Yazidi Kusambaza Furaha Kwa Watanzania

by I am Krantz
Nov 27, 2023
NMB Mlipa Kodi Mkubwa na Bora Zaidi Tanzania 2023 🇹🇿
HABARI

NMB Mlipa Kodi Mkubwa na Bora Zaidi Tanzania 2023 🇹🇿

by I am Krantz
Nov 27, 2023
Vodacom Yakabidhi Bima Kubwa Ya Bure Kwa Akina Mama Na Watoto Wachanga 200 Kupitia VodaBima
HABARI

Vodacom Yakabidhi Bima Kubwa Ya Bure Kwa Akina Mama Na Watoto Wachanga 200 Kupitia VodaBima

by I am Krantz
Nov 27, 2023

KRANTZ MWANTEPELE (FOUNDER & CEO)

KONCEPT TWEETS

KONCEPT TV

https://www.youtube.com/watch?v=0HP0mB_rtIU&t=7s
September 2023
M T W T F S S
 123
45678910
11121314151617
18192021222324
252627282930  
« Aug   Oct »
Currently Playing
  • About
  • Advertise
  • Privacy & Policy
  • Contact

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

No Result
View All Result
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

Welcome Back!

Login to your account below

Forgotten Password?

Retrieve your password

Please enter your username or email address to reset your password.

Log In